Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

Kasome historia. Hakuna sehemu ilikuwa inaitwa Palestine hapo mwanzo na hakuna historia ya Palestine maana hao ni wavamizi.
Naongea kingine unajibu kingine, ni hivi hicho kijiji kipo ndani ya mipaka ya palestina hiu inayotambulika kimataifa ya 1967 wala sijaongelea mipaka ya kihistoria au hujui israel pia ina mipaka kama ilivyo Tanzania na nchi nyingine yeyote?
Hata kwenye Quran hakuna neno Palestine ila kuna neno Israel (jiulize kwanini) Kwakua una siasa za majitaka (udini na propaganda) ndiyo imekuwa mwisho wako kwenye siasa

1. Nitajie wafalme wa palestine?
2. Nitajie miji ya wapalestine? Utagundua ni miji yenye historia na Israel na ina majina ya kiisrael😄😄😄
Ndio nini hiki unaongea?? Kwani hao wafalme kina Neodachlomer walikua wametokana na kabila gani? Hata kwenye biblia yako hao wafalme wanatajwa kwenye mwanzo 14
Bera, Birsha, Shinab na shemeber n.k walishakuwa wafalme na hata Abraham alikuta Jerusalem ina mfalme wake.

Basically eneo hilo tokea liitwe canaan baadae likakaliwa na jamii nyingine ikiwemo wafilisti (caphtorites/aegeans) na jina likabadilika kuwa philistia, baadae wamisri wakapaita Pelesta huku waashuru walipotawala wakaliita Palustu na ikaendelea hadi kuitwa Palaestina na dola ya rumi.

Pia tafiti nyingi ikiwemo hii inaonyesha kuwa wapalestina wana mfanano wa DNA na wacanaan wa kale wakiwemo hao wafalme niliotaja hapo juu!!

Ni vizuri kujifunza kusoma historia na tafiti kabla ya kuanzisha mijadala humu mtandaoni na watu makini
 
Naongea kingine unajibu kingine, ni hivi hicho kijiji kipo ndani ya mipaka ya palestina hiu inayotambulika kimataifa ya 1967 wala sijaongelea mipaka ya kihistoria au hujui israel pia ina mipaka kama ilivyo Tanzania na nchi nyingine yeyote?

Ndio nini hiki unaongea?? Kwani hao wafalme kina Neodachlomer walikua wametokana na kabila gani? Hata kwenye biblia yako hao wafalme wanatajwa kwenye mwanzo 14
Bera, Birsha, Shinab na shemeber n.k walishakuwa wafalme na hata Abraham alikuta Jerusalem ina mfalme wake.

Basically eneo hilo tokea liitwe canaan baadae likakaliwa na jamii nyingine ikiwemo wafilisti (caphtorites/aegeans) na jina likabadilika kuwa philistia, baadae wamisri wakapaita Pelesta huku waashuru walipotawala wakaliita Palustu na ikaendelea hadi kuitwa Palaestina na dola ya rumi.

Pia tafiti nyingi ikiwemo hii inaonyesha kuwa wapalestina wana mfanano wa DNA na wacanaan wa kale wakiwemo hao wafalme niliotaja hapo juu!!

Ni vizuri kujifunza kusoma historia na tafiti kabla ya kuanzisha mijadala humu mtandaoni na watu makini
Hizo historia za majitaka ndizo zimekufanya uwe na siasa za majitaka ndiyo maana hata kwenye ubunge haupo tena na hautakuwa

Wewe na wajinga wenzako mlisema Netanyau amekufa na hiyo ni AI haiwezekani mtu awe na vidole 6. Sasa hivi haujaja kutolea ufafanuzi

Soma historia za kweli na siyo za majitaka na kukufanya kuwa mwanasiasa majitaka
 
Kuna nchi za kiislamu zaidi ya 54 zinatumia Sharia Law lakini hakuna mwenye akili hata mmoja ambaye anauwezo wa kutengeneza magari, simu, tv, subwoofer, computer, social media, headphone wala Operating System kama windows, iOs au Android. Hata timu ya mpira au ligi hawana na hawana uwezo wa kushinda kombe la dunia.

Wakiambiwa fundi mbomba ameweza kuendesha ndege lazima waone ni uongo na hiyo kwasababu mipango ya kuua imeshindikana😁😁
Nani kakudanganya? Kwenye mpira tu PSG na Man city zina dominate na ziko owned na waarabu!! timu gani inayomilikiwa na wayahudi imeperform hivyo?

Social Media na teknolojia, nachukua mfano tu wa mfuko wa uwekezaji falme ya Saudi Arabia (PIF) ina miliki Class A shares Google, Zoom, OpenAI, Antrophic, uber, Microsoft na twitter. Na hii ni Saudi Arabia tena mfuko mmoja tu wa PIF?? Sijaongelea Qatar, UAE, Oman etc

Pia Iran inatengeneza kila kitu chake kuanzia satellite, silaha mpaka miundombinu ya kuchakata nuclear bila hivyo wasingetoboa maana wamewekewa vikwazo tokea 1970s ila wametoboa sababu kila teknolojia yap wanatengeneza wenyewe kwa matumizi ya ndani.

Dini haina uhusiano na akili, otherwise nchi za kikristo kama Malawi, Burundi, Zambia, Angola, Zimbabwe, DRC, Cameroon zisingekua na umaskini wa kutupwa.
 
Hizo historia za majitaka ndizo zimekufanya uwe na siasa za majitaka ndiyo maana hata kwenye ubunge haupo tena na hautakuwa
Wewe ulidai hakukuwahi kuwa na wafalme wa palestina nimekuonyesha connection na tafiti za kisayansi pamoja na ushahidi wa biblia yako ila unaita historia majitaka? Ina maana hata biblia yako huiamini?

Wewe na wajinga wenzako mlisema Netanyau amekufa na hiyo ni AI haiwezekani mtu awe na vidole 6. Sasa hivi haujaja kutolea ufafanuzi
Lini nilisema Netanyahu amekufa? Unaweza weka hiyo post hapa? Yaani ubongo wako umeujaza uongo wa tik tok huko alafu unakuja kunilisha maneno hapa?

Mimi ni mtu makini sana ndio maana hoja zako zote nimepangua so sijawahi kuwa level za kupost uzushi humu.
Soma historia za kweli na siyo za majitaka na kukufanya kuwa mwanasiasa majitaka
Nilishasoma historia za kweli ndio maana nakuelimisha wewe maamumaa usiye na shule. Hata biblia yako tu hujui imetaja wafalme wa palestina ya kale!! ndio uje unielimishe kuhusu historia? Aisee kuwa serious.
 
Kuna nchi za kiislamu zaidi ya 54 zinatumia Sharia Law lakini hakuna mwenye akili hata mmoja ambaye anauwezo wa kutengeneza magari, simu, tv, subwoofer, computer, social media, headphone wala Operating System kama windows, iOs au Android. Hata timu ya mpira au ligi hawana na hawana uwezo wa kushinda kombe la dunia.

Wakiambiwa fundi mbomba ameweza kuendesha ndege lazima waone ni uongo na hiyo kwasababu mipango ya kuua imeshindikana😁😁
😆 😂 😆 😂 ngoja waje huku
 
Back
Top Bottom