Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

Nikikwambia wewe hujielewi ujue kama hujielewi
Hoja haikua gaidi wala kaidi kama unavyodai hapa
Hoja ni kwamba dini hazifai sababu zinatoa hukumu ya watu kuuliwa
Nikakutolea mfano wa marekani na China ambao ni secular ila bado kwao hukumu za kunyonga zipo nawao unawaeka upande gani
Naona unaruka ruka kama kuku kakatwa kichwa
Huna hoja yaani unahoja za ukilaza kabisa
Wewe mjinga nimekuwekea maneno ya Supreme Court Justice Antonin Scalia yanayoonesha kuwa Marekani si nchi secular hivyo. Inaongozwa kwa misingi ya kidini bado. Na hata hiyo adhabu ya kifo Marekani ina misingi ya Ukristo.

Nimekupa mfano wa nchi za Scandinavia ambazo zimeizidi Marekani kwa secularism na hazina adhabu ya kifo, umeziacha hizo na kuchagua Marekani kwa ubishi tu.

Ila nafikiri hata Kiingereza hujui ndiyo maana umeshindwa kusoma.

Ama unataka kuleta ubishi tu wa wafia dini.

Wewe hujafikisha viwango vya kujibizana na mimi. You are wasting my precious time with your balderdash non sequiturs.

Wewe ni mfia dini uliyejitoa akili, hutumii mantiki unalazimisha mambo.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona uharo unaoandika.
 
Ishu hapa ni kukua kwa uislam haijalishi unakua kwa njia gani muhimu unakua
Kwa waislam huko unaposema kua hata kwa 2% ni zaidi ya kukua sababu mwanzo haukua kama hivyo ulivyo sasa
Wanazaliana ndio wanakua kwani kuna tatizo
Wao wa upande ule si wameamua kusagana na kufirana waache wanao zaliana wakue hamna shida hatta

Hivi sheikh mfano huko Tanga pwani na Zanzibar kote huwa wanafirana Sana mbona huwa hamlizungumzii kabisa
 
Unawaonea wivu hao 72 unatamani na wewe ungekua wa 73
Ama sijaelewa

Sinaga wivu wa kipumbavu kwa mambo ambayo hata hayapo,sana sana nawashangaa tu mnavyojazwa upumbavu na nyie mnajaa bila kufanya reasoning
 
Hivi sheikh mfano huko Tanga pwani na Zanzibar kote huwa wanafirana Sana mbona huwa hamlizungumzii kabisa
Hata kwenu hua wanafirana pia kama tanga na pwani
Ishu ni kwamba kwenu mmehalalisha huko kufirana kama wanavyofanya vatican Brussels au teli avivu???
 
Wewe mjinga nimekuwekea maneno ya Supreme Court Justice Antonin Scalia yanayoonesha kuwa Marekani si nchi secular hivyo. Inaongozwa kwa misingi ya kidini bado. Na hata hiyo adhabu ya kifo Marekani ina misingi ya Ukristo.

Nimekupa mfano wa nchi za Scandinavia ambazo zimeizidi Marekani kwa secularism na hazina adhabu ya kifo, umeziacha hizo na kuchagua Marekani kwa ubishi tu.

Ila nafikiri hata Kiingereza hujui ndiyo maana umeshindwa kusoma.

Ama unataka kuleta ubishi tu wa wafia dini.

Wewe hujafikisha viwango vya kujibizana na mimi. You are wasting my precious time with your balderdash non sequiturs.

Wewe ni mfia dini uliyejitoa akili, hutumii mantiki unalazimisha mambo.

Nakupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona uharo unaoandika.
Wewe kilaza maneno yake sio katiba ya marekani
Unazidi kuudhihirisha ujinga wako unaozidi kukomaa
Katiba ya marekani ndio inayoelezea msimamo wa marekani wala sio ujinga wako na huo ukilaza wako
 
Kama dini haikufanyi kuwa mtu mwema achana nayo!
Hamna dini ya kumfanya mtu kuwa mwema. Dini zinakufanya uogope moto, full stop.
Dini hazikufanyi uongeze uwezo wako wa kufikiria, ndio maana hawaruhusu maswali ibadani, na kuvihoji vitabu vitakatifu ni kukufuru
 
Ishu hapa ni kukua kwa uislam haijalishi unakua kwa njia gani muhimu unakua
Kwa waislam huko unaposema kua hata kwa 2% ni zaidi ya kukua sababu mwanzo haukua kama hivyo ulivyo sasa
Wanazaliana ndio wanakua kwani kuna tatizo
Wao wa upande ule si wameamua kusagana na kufirana waache wanao zaliana wakue hamna shida hatta
Na Iran je?
 
Israel ipi ilivamiwa? Lile eneo walilovamia ni eneo ndani ya palestina ambalo lilikaliwa tu kimabavu na wayahudi. Ni sawa na Idd Amin alivovamia Kagera alafu askari wa Tanzania wakienda kagera waseme kavamia Uganda.

Punguzeni propaganda
Siasa yako ya majitaka mpaka umeshindwa kuwa mbunge tena kwasababu ya kutojua nini unafanya kwenye siasa.

Kasome historia. Hakuna sehemu ilikuwa inaitwa Palestine hapo mwanzo na hakuna historia ya Palestine maana hao ni wavamizi. Hata kwenye Quran hakuna neno Palestine ila kuna neno Israel (jiulize kwanini) Kwakua una siasa za majitaka (udini na propaganda) ndiyo imekuwa mwisho wako kwenye siasa

1. Nitajie wafalme wa palestine?
2. Nitajie miji ya wapalestine? Utagundua ni miji yenye historia na Israel na ina majina ya kiisrael😄😄😄

Kama unaenda kwa mtu, unataka wewe ndiyo uchinje kuku wakati huyo kuku haujui hata bei yake ndicho kinachowagharimu wajinga wenzako wapalestine
 
Alishangilia nani? Unaweza weka hapa post niliyoshangilia? Acheni ku generalise mambo sio kila anayepinga wauaji wa Israel basi automatically ni Hamas supporter.

Mbona Australia kule wayahudi walikua wanateketzwa na gaidi mmoja ila aliyesaidia kummaliza gaidi ni muislam tena muarabu!!

Wala hakuna uchambuzi ni maswali basic tu kwamba plumber aliwezaje kuinua ndege kisa movie?. Yote hayo ni kujaribu kuwafanya wayahudi waonekane sijui bright na heroic ilihali hawasemi marubani wa akiba ambao ndio waliendesha ndege hadi kutua salama.

Punguzeni propaganda na udini
Waislamu walishangilia sana ikiwemo wewe mpaka mkatoa post ya kushangilia na FaizaFoxy😄😄😄😄

Hizo propaganda na udini ndiyo imekufanya uwe na siasa za majitaka mpaka leo hii siyo mbunge na hauna sifa ya kuwa mbunge.

Sasa hivi umebaki mtandaoni na hauna mvuto tena
 
Alishangilia nani? Unaweza weka hapa post niliyoshangilia? Acheni ku generalise mambo sio kila anayepinga wauaji wa Israel basi automatically ni Hamas supporter.

Mbona Australia kule wayahudi walikua wanateketzwa na gaidi mmoja ila aliyesaidia kummaliza gaidi ni muislam tena muarabu!!

Wala hakuna uchambuzi ni maswali basic tu kwamba plumber aliwezaje kuinua ndege kisa movie?. Yote hayo ni kujaribu kuwafanya wayahudi waonekane sijui bright na heroic ilihali hawasemi marubani wa akiba ambao ndio waliendesha ndege hadi kutua salama.

Punguzeni propaganda na udini
Kuna nchi za kiislamu zaidi ya 54 zinatumia Sharia Law lakini hakuna mwenye akili hata mmoja ambaye anauwezo wa kutengeneza magari, simu, tv, subwoofer, computer, social media, headphone wala Operating System kama windows, iOs au Android. Hata timu ya mpira au ligi hawana na hawana uwezo wa kushinda kombe la dunia.

Wakiambiwa fundi mbomba ameweza kuendesha ndege lazima waone ni uongo na hiyo kwasababu mipango ya kuua imeshindikana😁😁
 
WAKAMATIA TUNAITA OFF TARGET

1000122381.jpg
 
Back
Top Bottom