Mwislamu huua kwa maamrisho ya Mungu wake uchwara, Mungu tahira Mungu Allah.
Kama umesoma vizuri Quran utakubali kuwa Allah ndiye huamuru hawa vijana waue wenzao ila kama wewe muislamu wa level ya madrasa utasema Allah hataruhusu kuua wengine.
Mkristo akiua inakuwa issue yake binafsi, yaani ameua kwa sababu zingine tofauti na issue za kidini.
Huniambii chochote wewe, hata madrasa kwenyewe umeishia juzuu ya tatu.
Nimewahi kuwa muislamu tangu nikiwa mdogo nikasoma hiyo elimu yenu uchwara Lindi kwa Mzee then nikapelekwa Pwan kwa Sheikh Doga, kipindi kile Gorogosi akiwa friend wa Doga, nimekaa sana na Gorogosi nikimuhoji maswali mengi
Mimi sio muislam sielewi kwanini una conclude. Mie nimesema DINI zote at some point Mungu aliwaagiza kuua wasioamini ikiwemo biblia. Nadhani unafahamu Elia alichinja manabii wa baali zaidi ya elfu 4 kwa sababu ya malekezo ya torati ya Mungu.
Pia Mungu aliagiza waisrael kuua mtu yeyote atakayeabudu mungu mwingine.
Kutoka 22:20
[20]Mtu atakayemchinjia sadaka mungu ye yote, isipokuwa ni yeye BWANA peke yake, na angamizwe kabisa.
Sio tu watu mpaka manabii wa miungu wengine walitakiwa kuchinjwa.
Kumbukumbu la Torati 13:5;8-10
[5]Na yule nabii, au yule mwotaji wa ndoto, na auawe, kwa kuwa amesema yaliyopotoka juu ya BWANA, Mungu wenu, aliyewatoa katika nchi ya Misri, akakukomboa katika nyumba ya utumwa, apate yule mtu kukupotoa katika njia aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, uiendee. Ndivyo utakavyouondoa uovu utoke katikati yako.
[8]usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;
[9]mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.
[10]Nawe mtupie mawe hata afe; kwa kuwa alitaka kukupotoa na BWANA, Mungu wako aliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
Na hapa sijaongelea GENOCIDE ambayo Joshua aliagizwa kuua wote wasioamini na alichinja makabila zaidi ya 13 ya canaan.
Je una maoni gani?
Cc:
Johnny Impact