Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

Gaidi aliyetaka kuangusha ndege ya flydubai ni mtu anayeswali muda wote!

Yes... Ni fundi Bomba kabisa ambaye ukimwita anakufungia Maji Bafuni, Chooni na Jikoni.

Nilikua namsikiliza wakati anahojiwa na Nyetenyahu, coz hata yeye alishtuka kusikia jamaa ni fundi Bomba..!

Fundi Bomba anasema Kuna kipindi kimoja Cha Television Huwa anapenda kutizama, na Huwa hatari kupitwa na hata Episode 1, kile kipindi kinazungumzia kuhusiana na Mambo ya Ndege Kwa ujumla, namna inafanya kazi, pia sehemu ya kipindi hicho Cha Kila week huzungumzia Mambo ya usalama wa Ndege, hufundisha Mfano imetokea Dharura mpo Angani na Marubanj wote wamepata shida kuzimia ama kufa n.k, unawezaje kujua Kuna Airport jirani, unawezaje kujua, Nini na nini Cha kufanya n.k

So baada ya kumdhibiti Rubani Gaidi na kumtoa nje ya Chumba Cha Marubani, Kwa sababu ya uzoefu wake wa kufatilia kipindi Cha Television, na kumbuka wakati huo Ndege ilikua inashuka chini Kwa Speed mpaka hapo ilikua mita 5,000 Toka ilipokuepo, so alikua anajua Cha kufanya nakumbuka anasema alianza na Steling akaiweka sawa, akabonyeza Button kadhaa, then akatangaza Kwa abiria kama kulikua na Marubani wazoefu waliokua kama abilia, bahati nzuri kulikua na Marubani 2 wazoefu, wakajitokeza, akawapisha Kiti, basi wakatua salama Saudia.
Loh! Hao sasa ndio binadamu! Wengine tupo kula tu kwa hakika; no value addition kwa kuwepo kwetu duniani.
 
Msikilizeni George Galloway upande wake akisema mkasa huu
Pilot wawili eti walikuwa mmoja Ukrainian na mwingine Mrusi ndio walisaidiana tena wakiwa wasafiri

Kwenye ndege zingine hata Dr hakuna unaweza kufa ila kwa hawa Pilot wamo halafu maadui 🤣🤣
Mkuu samahani wewe ni mwarabu au una asili ya kiarabu?
 
Hili suala lina utata kwamba lipo kidini au ni chuki tu na visasi

Haiwezekani kwa akili ya kawaida uishushe dege ya abiria 174 tena yeye akiwemo?!
I see
 
Kwa nini unatoa mfano wa Marekani?

Marekani ndiyo mfano wa nchi isiyo na udini? Mbona Marekani ina udini sana tu?

Hiyo Marekani unaielewa historia yake, mifumo yake ya sheria, na udini uliopo katika mifumo yake?

Unaelewa Marekani si majimbo yote yana hukumu ya kifo?

Unaelewa hiyo hukumu imetolewa jimbo la Tennessee? Unaelewa hilo ni jimbo lenye wahafidhina wa kidini wengi?

Kwani Marekani ndiyo nchi ya mfano ya watu wasioamini dini?

Mbona Marekani ni kati ya nchi yenye wahafidhina wengi wa kidini?

Unaelewa kuwa kuna wahafidhina wengi sana mpaka kwenye Supreme Court ya Marekani wanaoamini kuwa Marekani imeanzishwa na inatakiwa kuendeshwa kwenye misingi ya Kikristo?

Ushawahi kumsoma mtu anaitwa Justice Antonin Scalia?

Marekani ni nchi yenye wahafidhina wenye mawazo ya kidini kibao, na wengi wanaamini nchi yao inaendeshwa kwa misingi ya Kikristo, na hiyo hukumu wanaihalalisha kwa kufuata misingi ya hukumu za jino kwa jino za Ukristo.

Huelewi wapi?

Zaidi, unapouliza wanatumia dini gani,
kwa nini watumie dini?

Ule ni mfumo wao wa kimahakama kumhukumu muuaji.

Sasa unafananisha mfumo wa kimahakama kumuua muuaji, na mhafidhina gaidi anayetaka kuua watu wasio na hatia?

Unajua hata jinsi ya kulinganisha wewe, au dini ineshakuharibu akili na wewe?

Soma muhtasari hapa (Meta AI).

Question.

Did Scalia believe that the US was founded on Judeo-Christian principles?

Answer.

Yes, in the accommodationist sense - though he framed it as a historical and legal tradition, not just a personal belief.

Justice Scalia consistently argued:

1. The American tradition allows government to favor religion over non-religion.

He said there is "no place" in the constitutional tradition for the idea that the state must be neutral between religion and its absence. The neutrality the framers intended, he said, "is not neutrality between religiousness and non-religiousness; it is between denominations of religion." 1d48

2. The Ten Commandments and God are part of that tradition.

He wrote that displays of the Ten Commandments around the Supreme Court and government buildings establish an understanding "that the Ten Commandments are a foundation of the rule of law, and a symbol of the role that religion played, and continues to play, in our system of government." 28d3

In oral argument he put it more directly: when people see such a monument, it's "a symbol of the fact that government comes - derives its authority from God. And that is, it seems to me, an appropriate symbol to be on State grounds." b493

3. Public honoring of God is part of why he thought America succeeded.

In a 2014 speech at Archbishop Rummel High School, he said:



He also argued in dissent in McCreary County v. ACLU that publicly honoring the Ten Commandments is indistinguishable from publicly honoring God, and that because Christianity, Judaism and Islam - "which combined account for 97.7% of all believers" - all believe the Commandments were given by God, such honors "cannot be reasonably understood as a government endorsement of a particular religious viewpoint."
Maelezo meeengi ila upupu na upuuzi mtupu
Marekani kua na wahafidhina wa kidini ya kikristo haina maana kua ndio wanafuata mfumo wa Kikristo kijana
Hata Qatar wana waislam wengi ila hawahukumu kiislam
Marekani china ni mfano wa mataifa machache kati ya mengi ambayo sio ya kiislam wala ya Kikristo (kimfumo) ila wananyonga watu (hapa nimeivunja point yako kua waislam ama dini ndio zinahukumu kunyonga)
Tafuta hoja Kiranga bado una hoja nyepesi sana ama huna hoja zaidi ya kelele
 
Imagine mafundisho kama haya
Worst part Muslims tunajisifu Quran haibadiliki…. But mafundisho kama
Haya ni kuondoa kabisa kwenye hiko kitabu
Yana incite hates na uadui

It is a shame kwa dunia ya sasa kuendelea ku hold verse kama hizo
🤣😁🤣
Endelea kupiga kelele Qur’an kubadilika hilo sahau
Ukitoa Qur’an nitajie kitabu kimoja tu ambacho ilipita sio miaka 100 hapana miaka 5 tu au 10 bila kubadilishwa
Mawazo yakubadilishwa kwa Qur’an hayataishia kwako na wala hayakuanzia kwako ila utekelezaji wake ndio haupo
Pole endeleeni kuteseka na kuvumilia hakuna namna ya kuifanya ili muibadilishe Qur’an Qareem
 
Maelezo meeengi ila upupu na upuuzi mtupu
Marekani kua na wahafidhina wa kidini ya kikristo haina maana kua ndio wanafuata mfumo wa Kikristo kijana
Hata Qatar wana waislam wengi ila hawahukumu kiislam
Marekani china ni mfano wa mataifa machache kati ya mengi ambayo sio ya kiislam wala ya Kikristo (kimfumo) ila wananyonga watu (hapa nimeivunja point yako kua waislam ama dini ndio zinahukumu kunyonga)
Tafuta hoja Kiranga bado una hoja nyepesi sana ama huna hoja zaidi ya kelele
Kwanza nimekuuliza kwa nini umechagua Marekani, hujajibu.

Finland, by ratio, ina watu wasiofuata dini kuliko Marekani, na haina hukumu ya kifo.

Scandinavia kama kote kuko hivyo. Kumeizidi Marekani kwa kutofuata dini, na kumeizidi Marekani kwa kutokiwa na hukumu ya kifo.

Sasa kwa nini unachagua mfano wa Marekani, nchi yenye siasa za udini sana?

Sasa kwa nini umechagua Marekani, na si Marekani tu, katika Marekani yenyewe kuna majimbo mengi ambayo hayana hukumu ya kifo, umechagua habari ya jimbo la kusini lenye wahafidhina wengi wa kidini wanaopenda hukumu ya kifo, na hujachagua Finland, nchi ambayo ina watu wasioamini dini zaidi ya Marekani?

Mpaka hapo huoni kuwa unajichagulia nchi mwenyewe kwa matukio ili uhalalishe maoni yako yasiyo na msingi?

Nimekuwekea mpaka maoni ya Supreme Court Justice Antonin Scalia kuhusu Marekani kuendeshwa kidini.

Tatizo nina mashaka kama unaelewa Supreme Court ni nini, unamjua Justice Antonin Scalia ni nani, au hata kama Kiingereza unajua kusoma.

Na kama hujui kusoma Kiingereza sina cha kujadiliana nawe kuhusu Marekani.

Kwa sababu utanipa kazi ya ziada ya kukufundisha Kiingereza.
 
Ndege ingeanguka na kuua. Sasa hivi ungekuwa unasheherekea kama lile tukio la October 7 la Hamas walipoenda kuua raia Israel😀😀😀
Alishangilia nani? Unaweza weka hapa post niliyoshangilia? Acheni ku generalise mambo sio kila anayepinga wauaji wa Israel basi automatically ni Hamas supporter.
Unajua muislamu anayeswali sana ni mtu mbaya na hatari sana. Wewe chukulia mtu anaenda kwako anataka yeye ndiyo achinje kuku wakati hajui hata gharama ya kuku😀😀😀
Mbona Australia kule wayahudi walikua wanateketzwa na gaidi mmoja ila aliyesaidia kummaliza gaidi ni muislam tena muarabu!!
Wabongo wanajidai wanajua kuchambua mambo wakati Zitto mwenyewe siasi yake ya majitaka imemshinda
Wala hakuna uchambuzi ni maswali basic tu kwamba plumber aliwezaje kuinua ndege kisa movie?. Yote hayo ni kujaribu kuwafanya wayahudi waonekane sijui bright na heroic ilihali hawasemi marubani wa akiba ambao ndio waliendesha ndege hadi kutua salama.

Punguzeni propaganda na udini
 
lile tukio la 0ctober 7 kipindi Hamas wanaenda kuvamia Israel na kuua na kuchukua mateka kuwapeleka Gaza😀😀😀
Israel ipi ilivamiwa? Lile eneo walilovamia ni eneo ndani ya palestina ambalo lilikaliwa tu kimabavu na wayahudi. Ni sawa na Idd Amin alivovamia Kagera alafu askari wa Tanzania wakienda kagera waseme kavamia Uganda.

Punguzeni propaganda
 
Yes... Ni fundi Bomba kabisa ambaye ukimwita anakufungia Maji Bafuni, Chooni na Jikoni.

Nilikua namsikiliza wakati anahojiwa na Nyetenyahu, coz hata yeye alishtuka kusikia jamaa ni fundi Bomba..!

Fundi Bomba anasema Kuna kipindi kimoja Cha Television Huwa anapenda kutizama, na Huwa hatari kupitwa na hata Episode 1, kile kipindi kinazungumzia kuhusiana na Mambo ya Ndege Kwa ujumla, namna inafanya kazi, pia sehemu ya kipindi hicho Cha Kila week huzungumzia Mambo ya usalama wa Ndege, hufundisha Mfano imetokea Dharura mpo Angani na Marubanj wote wamepata shida kuzimia ama kufa n.k, unawezaje kujua Kuna Airport jirani, unawezaje kujua, Nini na nini Cha kufanya n.k

So baada ya kumdhibiti Rubani Gaidi na kumtoa nje ya Chumba Cha Marubani, Kwa sababu ya uzoefu wake wa kufatilia kipindi Cha Television, na kumbuka wakati huo Ndege ilikua inashuka chini Kwa Speed mpaka hapo ilikua mita 5,000 Toka ilipokuepo, so alikua anajua Cha kufanya nakumbuka anasema alianza na Steling akaiweka sawa, akabonyeza Button kadhaa, then akatangaza Kwa abiria kama kulikua na Marubani wazoefu waliokua kama abilia, bahati nzuri kulikua na Marubani 2 wazoefu, wakajitokeza, akawapisha Kiti, basi wakatua salama Saudia.
Propaganda tu hizi, kukuza wayahudi kuliko hao mapilot off-duty ambao ni wafanyakazi wa fly dubai kisa tu sio wayahudi so movie haitonoga ikionekana waliokolewa na muarabu au muislam mwingine.
 
View attachment 3681932
Rubani ambaye pia ni raia wa Oman aliyetaka kuiangusha Ndege ya Flydubai iliyobeba abiria wengi wao wakiwa raia wa Israel ameelezwa kuwa ni mtu wa dini sana (religious extremist). Kwamba anaswali sana na mara kwa mara kila siku na hataki kushikana mikono na wanawake ikiwa ni ishara ya kuwa ni mtu aliyeshiba dini.

Rubani mwenzake ameiambia Channel 16 ya Israel kuwa rubani huyo alijiunga na Flydubai miezi 8 iliyopita. Wakati Ndege hiyo ikiruka toka Dubai kwenda Israel jana na ikiwa angai, rubani huyo alimchoma rubani kiongozi na akaanza kuiangusha Ndege. Rubani kiongozi alifanikiwa kufungua mlango wa chumba cha kuongozea Ndege kabla hajazimia akapiga kelele kuomba msaada. Abiria walifanikiwa kumdhibiti rubani aliyegeuka gaidi na wakaiongoza Ndege kutua salama kwa dharura nchini Saudi Arabia.

Soma Pia: Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia

Ndege hiyo ilibeba abiria 174 ambapo karibu wote wakiwa raia wa Israel. Mtu aliyeiokoa hiyo Ndege isianguke ni raia wa Israel aliyeelezwa kuwa fundi bomba wakati rubani aliyechomwa kisu ni raia wa India.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

View: https://x.com/KreatelyMedia/status/2106008096766378023?s=20
 
Back
Top Bottom