Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Hata nyie mnaojitia hamuna dini ni eidha upumbavu ama wapumbavu msio jielewaNaam,
Kama dini haiwezi kumzuia mtu asiue watu wasio na hatia ya moja kwa moja, ni bora hata mimi nisiye na dini ila ninaheshinu utu na maisha ya watu tu kuliko mfia dini.
Dini inakuwa kisingizio cha kuhalalisha kuua watu wasio na hatia.
Ndiyo maana wengine tulishaona hizi habari za dini ni upumbavu tu.
Juzi marekani walitoa hukumu kuna mwanadada anyongwe
Na akachomwa sindano ya sumu ingawaje hakufa
Marekani walitumia dini ipi kutoa hukumu ya kifo dhidi ya yule mwanamke???