zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Naongea kingine unajibu kingine, ni hivi hicho kijiji kipo ndani ya mipaka ya palestina hiu inayotambulika kimataifa ya 1967 wala sijaongelea mipaka ya kihistoria au hujui israel pia ina mipaka kama ilivyo Tanzania na nchi nyingine yeyote?Kasome historia. Hakuna sehemu ilikuwa inaitwa Palestine hapo mwanzo na hakuna historia ya Palestine maana hao ni wavamizi.
Ndio nini hiki unaongea?? Kwani hao wafalme kina Neodachlomer walikua wametokana na kabila gani? Hata kwenye biblia yako hao wafalme wanatajwa kwenye mwanzo 14Hata kwenye Quran hakuna neno Palestine ila kuna neno Israel (jiulize kwanini) Kwakua una siasa za majitaka (udini na propaganda) ndiyo imekuwa mwisho wako kwenye siasa
1. Nitajie wafalme wa palestine?
2. Nitajie miji ya wapalestine? Utagundua ni miji yenye historia na Israel na ina majina ya kiisrael😄😄😄
Unaweza weka post yangu yoyote niliyoshangilia hapa? maana mnaongeaga tu uzushi tu bila ushahidi.Waislamu walishangilia sana ikiwemo wewe mpaka mkatoa post ya kushangilia na FaizaFoxy😄😄😄😄
Hizo historia za majitaka ndizo zimekufanya uwe na siasa za majitaka ndiyo maana hata kwenye ubunge haupo tena na hautakuwaNaongea kingine unajibu kingine, ni hivi hicho kijiji kipo ndani ya mipaka ya palestina hiu inayotambulika kimataifa ya 1967 wala sijaongelea mipaka ya kihistoria au hujui israel pia ina mipaka kama ilivyo Tanzania na nchi nyingine yeyote?
Ndio nini hiki unaongea?? Kwani hao wafalme kina Neodachlomer walikua wametokana na kabila gani? Hata kwenye biblia yako hao wafalme wanatajwa kwenye mwanzo 14
Bera, Birsha, Shinab na shemeber n.k walishakuwa wafalme na hata Abraham alikuta Jerusalem ina mfalme wake.
Basically eneo hilo tokea liitwe canaan baadae likakaliwa na jamii nyingine ikiwemo wafilisti (caphtorites/aegeans) na jina likabadilika kuwa philistia, baadae wamisri wakapaita Pelesta huku waashuru walipotawala wakaliita Palustu na ikaendelea hadi kuitwa Palaestina na dola ya rumi.
Pia tafiti nyingi ikiwemo hii inaonyesha kuwa wapalestina wana mfanano wa DNA na wacanaan wa kale wakiwemo hao wafalme niliotaja hapo juu!!
The origin of Palestinians and their genetic relatedness with other Mediterranean populations - PubMed
The genetic profile of Palestinians has, for the first time, been studied by using human leukocyte antigen (HLA) gene variability and haplotypes. The comparison with other Mediterranean populations by using neighbor-joining dendrograms and correspondence analyses reveal that Palestinians are...pubmed.ncbi.nlm.nih.gov
Ni vizuri kujifunza kusoma historia na tafiti kabla ya kuanzisha mijadala humu mtandaoni na watu makini
Nani kakudanganya? Kwenye mpira tu PSG na Man city zina dominate na ziko owned na waarabu!! timu gani inayomilikiwa na wayahudi imeperform hivyo?Kuna nchi za kiislamu zaidi ya 54 zinatumia Sharia Law lakini hakuna mwenye akili hata mmoja ambaye anauwezo wa kutengeneza magari, simu, tv, subwoofer, computer, social media, headphone wala Operating System kama windows, iOs au Android. Hata timu ya mpira au ligi hawana na hawana uwezo wa kushinda kombe la dunia.
Wakiambiwa fundi mbomba ameweza kuendesha ndege lazima waone ni uongo na hiyo kwasababu mipango ya kuua imeshindikana😁😁
Wewe ulidai hakukuwahi kuwa na wafalme wa palestina nimekuonyesha connection na tafiti za kisayansi pamoja na ushahidi wa biblia yako ila unaita historia majitaka? Ina maana hata biblia yako huiamini?Hizo historia za majitaka ndizo zimekufanya uwe na siasa za majitaka ndiyo maana hata kwenye ubunge haupo tena na hautakuwa
Lini nilisema Netanyahu amekufa? Unaweza weka hiyo post hapa? Yaani ubongo wako umeujaza uongo wa tik tok huko alafu unakuja kunilisha maneno hapa?Wewe na wajinga wenzako mlisema Netanyau amekufa na hiyo ni AI haiwezekani mtu awe na vidole 6. Sasa hivi haujaja kutolea ufafanuzi
Nilishasoma historia za kweli ndio maana nakuelimisha wewe maamumaa usiye na shule. Hata biblia yako tu hujui imetaja wafalme wa palestina ya kale!! ndio uje unielimishe kuhusu historia? Aisee kuwa serious.Soma historia za kweli na siyo za majitaka na kukufanya kuwa mwanasiasa majitaka
😆 😂 😆 😂 ngoja waje hukuKuna nchi za kiislamu zaidi ya 54 zinatumia Sharia Law lakini hakuna mwenye akili hata mmoja ambaye anauwezo wa kutengeneza magari, simu, tv, subwoofer, computer, social media, headphone wala Operating System kama windows, iOs au Android. Hata timu ya mpira au ligi hawana na hawana uwezo wa kushinda kombe la dunia.
Wakiambiwa fundi mbomba ameweza kuendesha ndege lazima waone ni uongo na hiyo kwasababu mipango ya kuua imeshindikana😁😁