Gaidi huyu aliomba kifo Israel wakamtimizia haja yake!!

Gaidi huyu aliomba kifo Israel wakamtimizia haja yake!!

KIONGOZI
HIVI HUNA KINGINE CHA KUPOSTI ZAIDI YA PROPAGANDA ZA ISRAEL?
TUPUMZISHE KIDOGO NA MAMBO YA VITA
TUNATAKA KUSIKIA HABARI ZINGINE ZA KUTUPATIA POSITIVE ENERGY!

Kutumia muda mwingi kupata Negative energy inaweza kupelekea matatizo
JF kuna majukwaa mengi sana!!!

Nakushauli tu nenda kwenye jukwaa lako pendwa la Mapishi!!!

Au uingie kwenye Jukwaa la Kilimo,Ufugaji na Uvuvi najua kwenye majukwaa hayo utaburudika sana moyo wako!!

Wayahudi wana msemo wa usemao If you can't handle the Political heat stay out of the Kitchen
 
AI hiyo acheni ujinga Iran hana mifumo ya ulinzi wa anga!! Yote ilishaangamizwa!!!

View: https://youtu.be/mfFwvNNGhOI?si=Pmnqd5ASDrglXvt7

Mtakimbia tu Iran, Trump mpaa dunia nzima wanamcheka presdent anaye jidai wao ndio super power kutuonyesha kapiga daraja ndio snaona sifa kweli kaishiwa hajui masikini atashunda vipi vita aliyo ianzisha il8 afiche aibu zake za Epstein


View: https://youtu.be/rDFaJ2fp8SU?si=H38AfhGJM5XywPkM

Mmechanganyikiwa mpaa mnafukuza ma General huko wakiwambieni ukweli
 
Back
Top Bottom