Gaidi katika ubora wake

Gaidi katika ubora wake

Nani alimfundisha kutumia silaha?
Je tukio la Leo ndio kilikuwa mara yake ya Kwanza kutumia silaha??
Naona ni mzoefu. Mungu ni Mkubwa.
 
Ongeza na Hussein Bashe, Aden Rage na misomali mingine iliyotapakaa nchini wakati nayo eti inatubagua kuwa ni miarabu bila kusahau hata wapemba ambao Uarabuni wanaitwa watumwa au abid
Bashe na Rage wanaingiaje hapo ?!!

Ubaguzi ni tabia mbaya ya kibinadamu....watu hubaguana hata ndani ya familia kwa walio nacho na malofa.....
 
Mshana hizi picha unazoweka hapa unaweza sababishia wengine matatizo bila kujua, watu wataanza kutafutwa na polisi kumbe wengine walikutana nae night club mara moja tu, angalia privacy za watu.
Hapo hakuna tena cha privacy, picha zipo google na social networks.
 
Mshana hizi picha unazoweka hapa unaweza sababishia wengine matatizo bila kujua, watu wataanza kutafutwa na polisi kumbe wengine walikutana nae night club mara moja tu, angalia privacy za watu.
Aisee inasemwasenwa jamaa sio gaidi
 
Back
Top Bottom