Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Ngoja tuone isijekuwa photoshop!
Ni picha duka hii maana inaonekana kabisa kichwa kumewekwa tu
[emoji817] %
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone isijekuwa photoshop!
Bashe na Rage wanaingiaje hapo ?!!Ongeza na Hussein Bashe, Aden Rage na misomali mingine iliyotapakaa nchini wakati nayo eti inatubagua kuwa ni miarabu bila kusahau hata wapemba ambao Uarabuni wanaitwa watumwa au abid
Afu Hii kampani yake Kwenye kilaji inajirudia picha ya 3 sasa,Mwanakwetu wakwetuView attachment 1908331
Hapo hakuna tena cha privacy, picha zipo google na social networks.Mshana hizi picha unazoweka hapa unaweza sababishia wengine matatizo bila kujua, watu wataanza kutafutwa na polisi kumbe wengine walikutana nae night club mara moja tu, angalia privacy za watu.
Aisee inasemwasenwa jamaa sio gaidiMshana hizi picha unazoweka hapa unaweza sababishia wengine matatizo bila kujua, watu wataanza kutafutwa na polisi kumbe wengine walikutana nae night club mara moja tu, angalia privacy za watu.
Kumbe ni green guard wa lumumba.
Yule dogo alikuwa na ishu na polisi pekee, inawezekana kuna kitu wamedhulumiana.Aisee inasemwasenwa jamaa sio gaidi