Gaidi lililokua na bendera ya magaidi wa dola la kiislamu lafanya ugaidi Marekani

Mnatanguliza mihemko kwenye mambo changamani. Pimeni jambo kabla ya kutukana
Bila chuki wala uhasama wowote, kwa kweli, kwa vyovyotr vile, kuna mafundisho ndani ya uislam ni hatari kwa usalama wa Dunia.

Wanazuoni wa kiislam wajitafakari. Mauaji yanaweza kufanywa na mhalifu yeyote, na tunayahesabu ni ushetani, lakini mauaji yanayofantwa na waislam magaidi, wanayahusisha na Allah, wakiamini wanatimiza maagizo yake!!
 
Akuna Dini imefundisha kuuwa mtu pasi na Sababu ila zinakataza unyonge pambana kutetea kutokuonewa. Leo Wazungu wamepeleka vita ktk nchi za Waislam Waislam wengi Wameuwawa kila kona kulikopelekwa vita na Wazungu Waislam wakijitetea wanaitwa Magaid au Dini yao ndio inafundisha ivyo akili kama izi ana mtu makini zaid mnunua udongo au wale jamaa walitaka kwenda Ulaya lkn awana passport awana Visa lkn ukiwauliza wanakwambia wanataka kupeleka injili Ulaya na wanajua watainuliwa na kwenda ukimuuliza zaid kwann sasa mmekuja uku airport Badala ukouko mlikokuwa mngeinuliwa!!!! Apo sasa unapigwa na andiko!!!!! Unaona ujiondokee waandelee kula kande uku wakiona ndege zikipaa na kutua. Mwisho walijiondokea kwaiyo kuna wajinga awataki anaeonewa asijipiganie propaganda kibao sijui GAID kwani UGAID kabla Wazungu kuvamia nchi za kislamu ulikuwepo jibu apana Uislam aujafundisha upole kwa mtu mkatili kwako. Kauwa watoto wako mke wako ukiweza naww nafuta mtutu kamfate kamfraishe nayy ona Palestine miguvu yote kapewa Israel kutoka marekani kutoka NATO lkn Palestine inapigania haki yake leo hii Waisrael au IDF 1000 wamekufa vitani nao wanalia ndugu zao akuna unyonge. Pambana mwanaume. wacha waite Ww Gaid au chochote lkn ww pambania haki yako. Kifo peleka kifo kwake pia mizwazwa aitawai isha kila kona imejaa Uganda waliuwawa na kibwetele mombasa kilifi makenzi jamaa aliwazimisha kibao kwetu ndio ivo police wetu wapo macho sana kuyalinda mazwazwa yetu lkn Udongo Maji Kukanyagana adi vifo kugombea Mafuta yanakokotwa mala kawe mala sijui wapi police yetu ipo vizuli nanawaombeya wasichoke kuwalinda adi siku Wadhinduke!! Watanzania wenzetu ila ndio ivyo.
 
Reactions: Tui
Uislamu ni dini ya amani, msihusishe magaidi na dini ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…