Tangu lini aisee...?? Sema sembe mtu saafi saana. Kuna kipindi alikuwa makamo pale.Siku hizi Sembe ndo headmaster pale Galax
Okey.Frank Mboya alikuwa anaitwa
DuhKilishateguka mkuu , sema ndo hivo kamanda . Maana wadau walikua wamechafukwa na rohooo...
Alikuwa mwana wa Arachuga aiseee.Charles ara kwao ilikua wapi vile...
ila ile kundi ilimpa sana shida mgina
Vijana wa Arachuga walikuwa wasumbufu sana sijui kwanini.Alikuwa mwana wa Arachuga aiseee.
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k
Tuliowahi kusoma hapo tukumbushane mawili matatu kuhusu shule yeti!
Tukumbushane machache ya Msocha,Kinana, McMaster, Mwakasaka ,and the rest.
" Galanos school penda watoto , twakupenda ,twakusifu, tangu zamaaani shule yetu ilikua motomoto.........,"
Duuh mkuu wewe mhenga huko zamani.Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
Unakumbuka bifu kati ya Tanga School na Galanos kugombea totoz za Korogwe Girls. Siku moja kukawa na disco pale ukumbini Galanos. Totoz za Korogwe zikaja. Kusikia totoz za Korogwe girls zipo Galanos mijammaa ya Tanga School ikaja Galanos. Jamaa wa Tanga School walikula kichapo wakakimbilia kwenye lile bonde linaloelekea Amboni.Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k
Tuliowahi kusoma hapo tukumbushane mawili matatu kuhusu shule yeti!
Tukumbushane machache ya Msocha,Kinana, McMaster, Mwakasaka ,and the rest.
" Galanos school penda watoto , twakupenda ,twakusifu, tangu zamaaani shule yetu ilikua motomoto.........,"
Huyo ni mhenga aliyetukuka!
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
Heshima yako mhengaUnakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
Heshima yako Mkuu.....!Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
Fanya uzi title iwe Galanos secondary school Alumni special threadNna mengi ya kutaka kujua nitarudi kwako ukinisaidia kunijibu kwanza hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka msocha alikuwa anakaa staff mpaka saa nne usiku anaangalia tv
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Faky huyo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh. Kuna jamaaaa mmoja alikuwa tunamwita mpemba
Huyo faky baada ya kupata jiko akawa kila saa za mchana anatoroka kwenda kumnunulia samaki mwali. Alafu anakuja kusimulia.Faky huyo....
Ile Staff ulikua ukiiingia kama Police vile.....
Kuna Teacher Mmoja alikujaga kwa Mikwara akawa anapiga Push up parade, sijui walimjaza ujinga staff badae akawa Msela balaa.....
We jamaa kama nakufahamu hivi....Huyo faky baada ya kupata jiko akawa kila saa za mchana anatoroka kwenda kumnunulia samaki mwali. Alafu anakuja kusimulia.
Ila alikuwa na mashart saana mpemba dah.
Mara afundishe akiwa amekaa