Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Siku hizi Sembe ndo headmaster pale Galax
Tangu lini aisee...?? Sema sembe mtu saafi saana. Kuna kipindi alikuwa makamo pale.

Namkumbuka saana mwalimu wa chakula.

Wakati tunaanza form five tunaambiwa shule ipo vzr saana economics cha ajabu paka tunamaliza term ya kwanza hajaingia class.

Tunaanza term ya pili anatuambia Mimi naanza topics za mwisho nyinyi anzeni mwanzo tukutane katikati.

Alikuwa na manotes Magumu saana. Sema ulikuwa ukiweza kuzisoma lazima upige banda
 
Wazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k
Tuliowahi kusoma hapo tukumbushane mawili matatu kuhusu shule yeti!
Tukumbushane machache ya Msocha,Kinana, McMaster, Mwakasaka ,and the rest.
" Galanos school penda watoto , twakupenda ,twakusifu, tangu zamaaani shule yetu ilikua motomoto.........,"
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
 
Unakumbuka bifu kati ya Tanga School na Galanos kugombea totoz za Korogwe Girls. Siku moja kukawa na disco pale ukumbini Galanos. Totoz za Korogwe zikaja. Kusikia totoz za Korogwe girls zipo Galanos mijammaa ya Tanga School ikaja Galanos. Jamaa wa Tanga School walikula kichapo wakakimbilia kwenye lile bonde linaloelekea Amboni.
 
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.

Mkuu I salute You,Nyie ndo wenye shule! 78/79,Vita vinapigana we tayari upo Galaxyyy??? Big Up na shikamoo kaka.

Vipi mlikua mnaenda kwenye baikoko?

La Casachika ilikuwepo??

Mchaka mchaka je??

Zamu ya kuchunga ng'ombe na kukamua??

Any current political figures mliokua nao zama hizo(zama dam)?

Kama hakukua na koko wala lacasa mlikua mkitoroka zama hizo mnaenda wapi??
 
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.

Nna mengi ya kutaka kujua nitarudi kwako ukinisaidia kunijibu kwanza hayo
 
Unakumbuka ule utani wa 1978/79 (siku nyingi kidogo). Mwalimu Mhua aliendesha ile Anglia yake akaenda mpaka sokoni Ngamiani akanunua nazi na nyanya akarudi kwa mguu mpaka Galanosi kasahau Anglia yake sokoni Ngamiani.
Heshima yako Mkuu.....!
 
2017-07-11-21-28-17--1179899435.jpg
2017-07-11-21-28-11--7684583.jpg
Katika Picha
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh. Kuna jamaaaa mmoja alikuwa tunamwita mpemba
Faky huyo....

Ile Staff ulikua ukiiingia kama Police vile.....

Kuna Teacher Mmoja alikujaga kwa Mikwara akawa anapiga Push up parade, sijui walimjaza ujinga staff badae akawa Msela balaa.....
 
Huyo faky baada ya kupata jiko akawa kila saa za mchana anatoroka kwenda kumnunulia samaki mwali. Alafu anakuja kusimulia.

Ila alikuwa na mashart saana mpemba dah.

Mara afundishe akiwa amekaa
 
We jamaa kama nakufahamu hivi....
Jina lako la pili limeanzia na M?
 
Back
Top Bottom