sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Tangu lini aisee...?? Sema sembe mtu saafi saana. Kuna kipindi alikuwa makamo pale.Siku hizi Sembe ndo headmaster pale Galax
Namkumbuka saana mwalimu wa chakula.
Wakati tunaanza form five tunaambiwa shule ipo vzr saana economics cha ajabu paka tunamaliza term ya kwanza hajaingia class.
Tunaanza term ya pili anatuambia Mimi naanza topics za mwisho nyinyi anzeni mwanzo tukutane katikati.
Alikuwa na manotes Magumu saana. Sema ulikuwa ukiweza kuzisoma lazima upige banda