Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

hivi galanos haijaweza kupata mwalimu mwingine wa michezo nje ya msocha miaka yote nenda rudi
Huyu mzee hazeeki. Bado naskia yupo pale pale.

Kuna kipindi alikuwa mbabe saana kwa wanafunzi sasa wanafunzi wakawa wanamzingua mwalimu mwenyewe alifeli form four halafu anatusumbua.

Akaja assemble akasema mimi msocha nimesoma pcm yaan printing, computer and michezo [emoji23][emoji23]
 
Hahhaha Naburi alitujambisha saana. Kuna wana walikuwa wanawafukuzia wale mabinti zake sijui walifanikiwa
Sikumbuki kama alikuwa na mabinti ila alikuja kufariki akiwa kilimanjaro kama Afisa elimu sekondari
 
Hawakuwa watoto wake, Ila kuna graduu fulAni hivi alikuwa anakuja kwenye rehearsal na gari na wale wabinti.

Unakumbuka yeye ndio alikuwa anatumika saana kwenye kusafisha mazingira kipind cha graduu
 
Huyu mzee hazeeki. Bado naskia yupo pale pale.

Kuna kipindi alikuwa mbabe saana kwa wanafunzi sasa wanafunzi wakawa wanamzingua mwalimu mwenyewe alifeli form four halafu anatusumbua.

Akaja assemble akasema mimi msocha nimesoma pcm yaan printing, computer and michezo [emoji23][emoji23]
Mwalimu wa taaaluma....
Ile miwani yake sasa dah....
 
Hawakuwa watoto wake, Ila kuna graduu fulAni hivi alikuwa anakuja kwenye rehearsal na gari na wale wabinti.

Unakumbuka yeye ndio alikuwa anatumika saana kwenye kusafisha mazingira kipind cha graduu
Peter msechu hatakaa amsahau huyo mama.

Alikuwa anamsema assemble hadi jamaa anakaribia kulia
Yule madam anachamba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] R. I. P
 
Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Peter msechu hatakaa amsahau huyo mama.

Alikuwa anamsema assemble hadi jamaa anakaribia kulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukimtaja msechu. Namkumbuka na yule dogo wa tamthilia ile ya Siri za familia

Fredy Njau
 
Mimi namkumbuka yule mama wa duka la dawa tuu,kila mtu akienda anapewa dawa za malaria na typhoid
 
Galanos penda watoto bhana ...

Maana madanga yetu yalikua-st. Christina, korogwe girls, eckenford

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Nadhani yupo hapo toka 96,97....
 
Ha haaaa duka dec liliungua

Kumbe na nyinyi chini ya Yule headboy mtata mkalichoma tena.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukimtaja msechu. Namkumbuka na yule dogo wa tamthilia ile ya Siri za familia

Fredy Njau
Huyu simjui mzee.

Ila pia movie sijaona.
 
Nadhani yupo hapo toka 96,97....
Alitunyanyasa sna , ila tulikujaga waletea timbwili walikuja ondolewa karibia wote pale...akaletwa headmaster wa usagara markmaster, MGINA, Mziwanda wote wakpelekwa shule za ajabu ajabu
 
Huyu simjui mzee.

Ila pia movie sijaona.
Ntakuchek pm. Utamkumbuka dogo alikuwa anaimba na kuigiza saaana. Ni miongoni mwa watu walikuwa karibu saana na Msechu
 
Back
Top Bottom