sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Bweni la watu wachafuuWale wa kahawa mpoooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bweni la watu wachafuuWale wa kahawa mpoooo
Huyu mzee hazeeki. Bado naskia yupo pale pale.hivi galanos haijaweza kupata mwalimu mwingine wa michezo nje ya msocha miaka yote nenda rudi
Sikumbuki kama alikuwa na mabinti ila alikuja kufariki akiwa kilimanjaro kama Afisa elimu sekondariHahhaha Naburi alitujambisha saana. Kuna wana walikuwa wanawafukuzia wale mabinti zake sijui walifanikiwa
Hawakuwa watoto wake, Ila kuna graduu fulAni hivi alikuwa anakuja kwenye rehearsal na gari na wale wabinti.Sikumbuki kama alikuwa na mabinti ila alikuja kufariki akiwa kilimanjaro kama Afisa elimu sekondari
Mwalimu wa taaaluma....Huyu mzee hazeeki. Bado naskia yupo pale pale.
Kuna kipindi alikuwa mbabe saana kwa wanafunzi sasa wanafunzi wakawa wanamzingua mwalimu mwenyewe alifeli form four halafu anatusumbua.
Akaja assemble akasema mimi msocha nimesoma pcm yaan printing, computer and michezo [emoji23][emoji23]
Sikumbuki kama alikuwa na mabinti ila alikuja kufariki akiwa kilimanjaro kama Afisa elimu sekondari
Yule madam anachamba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] R. I. PAliitwa Naburi.
Alikuwa mwanamke wa shoka.
Alikuwa anabadilisha gari kila siku.
Bweni zuri sana aisee niliishi pale No. 16Bweni la watu wachafuu
Peter msechu hatakaa amsahau huyo mama.Hawakuwa watoto wake, Ila kuna graduu fulAni hivi alikuwa anakuja kwenye rehearsal na gari na wale wabinti.
Unakumbuka yeye ndio alikuwa anatumika saana kwenye kusafisha mazingira kipind cha graduu
Yule madam anachamba[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] R. I. P
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Peter msechu hatakaa amsahau huyo mama.
Alikuwa anamsema assemble hadi jamaa anakaribia kulia
Nadhani yupo hapo toka 96,97....Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Ha haaaa duka dec liliunguaDaaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Huyu simjui mzee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukimtaja msechu. Namkumbuka na yule dogo wa tamthilia ile ya Siri za familia
Fredy Njau
Alitunyanyasa sna , ila tulikujaga waletea timbwili walikuja ondolewa karibia wote pale...akaletwa headmaster wa usagara markmaster, MGINA, Mziwanda wote wakpelekwa shule za ajabu ajabuNadhani yupo hapo toka 96,97....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaa nakumbuka hiyo siku duka linaungua sa tisa usiku luzilo alikuja peku toka kwake....Ha haaaa duka dec liliungua
Kumbe na nyinyi chini ya Yule headboy mtata mkalichoma tena.
Ntakuchek pm. Utamkumbuka dogo alikuwa anaimba na kuigiza saaana. Ni miongoni mwa watu walikuwa karibu saana na MsechuHuyu simjui mzee.
Ila pia movie sijaona.