sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa kama nakufahamu hivi....
Jina lako la pili limeanzia na M?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We jamaa kama nakufahamu hivi....
Jina lako la pili limeanzia na M?
Ulikuwa unasomea kwenye ule mdarasa mkubwa wa juu??We jamaa kama nakufahamu hivi....
Jina lako la pili limeanzia na M?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...Ulikuwa unasomea kwenye ule mdarasa mkubwa wa juu??
Nilijua tahasusi yako ilikiwa inasomea mule. Kule tulikuwa na mpemba.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
Mara moja moja usiku......!
Nilikua nakukuta sana Bengazi na Kina Kruger(Denis)....!Nilijua tahasusi yako ilikiwa inasomea mule. Kule tulikuwa na mpemba.
Kule nyt kuna mserbia mmoja alikuwa anasinzia deile prepo Ila kwenye tokeo la necta yeye ndio alikimbiza kwa waserbia
Sio mimi kweli[emoji23] [emoji23]Nilijua tahasusi yako ilikiwa inasomea mule. Kule tulikuwa na mpemba.
Kule nyt kuna mserbia mmoja alikuwa anasinzia deile prepo Ila kwenye tokeo la necta yeye ndio alikimbiza kwa waserbia
La kwanza ni RWe jamaa kama nakufahamu hivi....
Jina lako la pili limeanzia na M?
Ule mdarasa wa HGE nilisomea sana nilikuwa lazima nikae dirishani nipunge upepoUlikuwa unasomea kwenye ule mdarasa mkubwa wa juu??
Basi siyo yeyeLa kwanza ni R
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] we umepatia mimi nimekoseaBasi siyo yeye
DuhNilikua nakukuta sana Bengazi na Kina Kruger(Denis)....!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ule mdarasa wa HGE nilisomea sana nilikuwa lazima nikae dirishani nipunge upepo
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Ulikuwa upo namba ngapi pale chaiNilikua nakukuta sana Bengazi na Kina Kruger(Denis)....!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ....[emoji23] we umepatia mimi nimekosea
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mimi mserbia ila lile darasa nilikuwa nalipenda sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa walikuwa wanatoboa saana pale alafu hge
Mserbia Gani mjanja hivi dah...Mimi mserbia ila lile darasa nilikuwa nalipenda sana.
Yule jamaa aliyekuwa analala sana alikuwa anaitwa....
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Sijakaa Chai Ndugu.....Ulikuwa upo namba ngapi pale chai
Duh... Nimekusoma. Steve yupo wapi siku hivi? Mzee wa daredaSijakaa Chai Ndugu.....
Ila nilikua napita sana pale na mkumbuka na Dogo Steve.........!
Hahaha,Watu walikuwa wanajua nasoma HGE msuli wangu ulikuwa wa kawaida tu.Mserbia Gani mjanja hivi dah...
Yaani wasebia alafu wajanja
Hata huyu Daby mjanja saana. Hii sio nature ya wasebia
Steve alikuaga Sua ila kwa sasa sijui yuko wap..... Tangu marehem Charlse atutoke nmekua sina Info zake!Duh... Nimekusoma. Steve yupo wapi siku hivi? Mzee wa dareda