Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ...
Mara moja moja usiku......!
Nilijua tahasusi yako ilikiwa inasomea mule. Kule tulikuwa na mpemba.

Kule nyt kuna mserbia mmoja alikuwa anasinzia deile prepo Ila kwenye tokeo la necta yeye ndio alikimbiza kwa waserbia
 
  • Thanks
Reactions: Oxx
Nilijua tahasusi yako ilikiwa inasomea mule. Kule tulikuwa na mpemba.

Kule nyt kuna mserbia mmoja alikuwa anasinzia deile prepo Ila kwenye tokeo la necta yeye ndio alikimbiza kwa waserbia
Sio mimi kweli[emoji23] [emoji23]

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ule mdarasa wa HGE nilisomea sana nilikuwa lazima nikae dirishani nipunge upepo

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa walikuwa wanatoboa saana pale alafu hge
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna jamaa walikuwa wanatoboa saana pale alafu hge
Mimi mserbia ila lile darasa nilikuwa nalipenda sana.
Yule jamaa aliyekuwa analala sana alikuwa anaitwa....

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Duh... Nimekusoma. Steve yupo wapi siku hivi? Mzee wa dareda
Steve alikuaga Sua ila kwa sasa sijui yuko wap..... Tangu marehem Charlse atutoke nmekua sina Info zake!
 
Back
Top Bottom