Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Ona majengo ya shule mbalimbali jinsi zinavyopendeza katika picha na muonekano wa shule tofautitofauti za wasichana kwa wavulana na zile za mchanganyiko pia za serikali na binafsi unaweza ukaangalia ukiona shule unayoijua haipo unaweza ukaweka picha na kuitambulisha ni shule gani na ipo wapi
Ilboru secondary school-Arusha
Ilboru secondary school-Arusha