Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Kuna shule sijaziona hapa kama Sangu Secondary, Meta ,Mbeya day na Kipoke Secodary schools, mwenye picha zake atupie hapa tuzione
 
Kibiti secondary school
20240921_213758.jpg
 
Usagara Secondary school-Tanga
 

Attachments

  • Screenshot_20240921-220835.jpg
    Screenshot_20240921-220835.jpg
    506.3 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240921-220737.jpg
    Screenshot_20240921-220737.jpg
    410 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240921-220636.jpg
    Screenshot_20240921-220636.jpg
    749.6 KB · Views: 7
Dah nimelia sana kuliona hili jengo
Babangu alikuwa Headmaster hapa Bihawana Sec.

Mimi kipindi hicho nilikua nasoma S/M Mwenge, nimepanda sana hizo ngazi kwenda juu ofisini kwa Headmaster kila siku nikifuata funguo za nyumbani😭😭
Boss,kwanini umelia?
 
I wonder why? Hiyo shule ni mojawapo ya shule kongwe na maarufu hapa nchini na imekuza na kulea watu wengi na waheshimiwa kibao.
Inasikitisha, maana gharama ya kupiga rangi ni ndogo kuliko ya kuja kubadili bati baada ya kuliwa na kutu!
 
Inasikitisha, maana gharama ya kupiga rangi ni ndogo kuliko ya kuja kubadili bati baada ya kuliwa na kutu!
Sijuwi kwanini haikupata fungu kwenye ule mgao wa kukarabati shule kongwe za.serikali,ngoja tusubiri labda iko kwenye awamu itayofuatia.
 
Back
Top Bottom