Ze Heby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 5,636
- 6,178
Unganisha na picha ya WarsawTabora boys secondary school
View attachment 3046091
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unganisha na picha ya WarsawTabora boys secondary school
View attachment 3046091
hiyo million 100 ni boarding au day? alafu mtoto azungushe aisee sii unaweza nyonga mtoto
Shule nzuri sanaKibosho Girl's Secondary School. To Know, To Love & To Act.
Gen Z hii ndiyo shule ya wasichana, ilikuwa na watoto warembo sana. View attachment 3052644View attachment 3052645View attachment 3052646
Wake zetu halali kwa sheria zote za nchi
Sie wazee 92-94 PCMNImekaa Meru 2002-2004
View attachment 3047351
Kama una picha ya majirani zenu Mwanza Sec. weka hapa tafadhari maana pale ndo mwisho wa maneno
Wow, wow, wow, Thank you for this Evelyn Salt, tuliosoma hapa tunajua fahari ya kusoma hapo, gari ya shule Defender TDI nimeiona.
Hivi kinshuli yupo 😂Wow, wow, wow, Thank you for this Evelyn Salt, tuliosoma hapa tunajua fahari ya kusoma hapo, gari ya shule Defender TDI nimeiona.
Aisee, sina taarifa zake aisee maana ni decade moja na miaka miwili toka nimetoka hapo kwa watoto wa mjini.Hivi kinshuli yupo 😂
Ile shule kwakweli ilikua na walimu vichekesho....unaenjoy kuwa shule.Aisee, sina taarifa zake aisee maana ni decade moja na miaka miwili toka nimetoka hapo kwa watoto wa mjini.
Ni shule poa kuwepo pale, sijawahi kujuta kupita pale.Ile shule kwakweli ilikua na walimu vichekesho....unaenjoy kuwa shule.
Atakua kazeeka sana
Hakika umri utakuwa umesonga sanaIle shule kwakweli ilikua na walimu vichekesho....unaenjoy kuwa shule.
Atakua kazeeka sana
Pamba sec na mwanza sec ilikua 🔥🔥🔥 sana, miaka ile daaaah nmekumbuka mbali, nmemiss homeNi shule poa kuwepo pale, sijawahi kujuta kupita pale.
People/Boys zilikuwa zinauwezo wa kuhudhuria vipindi katika shule zote mbili bila kushtukiwa.😀😀😀😀😀Pamba sec na mwanza sec ilikua 🔥🔥🔥 sana, miaka ile daaaah nmekumbuka mbali, nmemiss home
Dah,shule yangu hii.
AhaaaahaaaaaMbona siioni Karatu Boys
Bashay kwa watoto wa ki-iraqAhaaaahaaaaa
Mzee wa Bashai na Dukutu Tooomii
HahaaaaBashay kwa watoto wa ki-iraq
Wenyewe walikua wanapaita kipande che Europe"View attachment 3051243
Ndanda wana majengo mazuri aisee