Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

Mpaka rafk yangu akanihurumia tunakaa kiti kimoja wawili, Asee kuna mikoa mingine shida zimejazana mashuleni
 
images.jpeg
Tumbi secondary school
 
Lumbila imesaidia sana Vijana kupona 😜

Kuna wakati tuliambiwa tukashiriki mazishi ya mtoto mmoja wa below 3yrs hapo Lumbila.

Mkuu wa Shule alisema Baba wa huyo mtoto alikuwa mmoja wa Mwanafunzi mwenzetu🙌
mnamkumbuka Adora na Sikitu walezi wa wana
 
Likers mmepita hapo nn? Opp na Shengena dormitories, jirani na ofisi ya Lwambao,jirani na TOD,jirani na Mangire video show kitaa pale,jirani na bubu madonati,jirani na Meru dormitories 14,16
NImekaa Meru 2002-2004
 
Back
Top Bottom