GWAMAKA USWEGE
JF-Expert Member
- Feb 23, 2023
- 1,398
- 5,198
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hapa mkuu
mbele mwiko nyuma mwiko yaani ni mwiko juu ya mwiko
Hii siku hizi imekuwa boys na A-level pekee yake? Nilipiga hapo kidato Cha tano na sita ila wakati huo ilikuwa mchanganyiko wafulana na wasichana kuanzia kidato Cha kwanza mpaka Cha sita. Moja ya shule nzuri na kongwe kabisa. Ilianza rasmi 1906 ikiwa ni shule ya mission kabla ya kutaifishwa na serikali ya Tanzania.NDANDA BOYS HIGH SCHOOL ...MASASI MTWARA
View attachment 3046741