Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Kwako we lofa shule ni nini?At least hiyo Kemebos ,hizo zingine zilizobaki ni vituo vya kufanyia mitihani sio shule .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako we lofa shule ni nini?At least hiyo Kemebos ,hizo zingine zilizobaki ni vituo vya kufanyia mitihani sio shule .
Kwani wewe unaona shule ni nini?Kwako we lofa shule ni nini?
Kaka Dom 8 lilifanyiwa marekebisho walikua wanakaa wale innocents wa shule kule. Dom 7 ya juu ilikua ni kama uswahilini ya njoss, Kila aina ya uharifu shuleni ulikua kule na mabibo 😆😆😆Hahaha, lile lilikuwa ni la kibabe sana.
Sijui kama bado lipo lakini angalau Dom 6 & 7 yalifanyiwa maboresho baada ya kuharibiwa.
Hili jengo la utawala, majengo mengine yanatia huruma kwelikweli na vumbi hatari. Hiyo kijani ni ya kipindi cha mvua tu.View attachment 3051241
Bihawana secondary school-Dodoma Tanzania
Ulikimbilia kwenye mserereko wa one (kut..f...niwa)Hili jengo la utawala, majengo mengine yanatia huruma kwelikweli na vumbi hatari. Hiyo kijani ni ya kipindi cha mvua tu.
Nimekumbuka hii shule ilikuwa na mashine yake ya maji ila ilikuwa na tatizo sugu la kukosa maji iliyokuwa inatengenezwa kimakusudi na jamaa wa kufungulia mashine hiyo hadi tunafuata maji kule kwenye kituo cha kilimo lakini kwa jirani zao wa bihawana seminary, kanisani, kiwanda cha wine na kituo cha kilimo hawakuwa na shida.
Wananchi wanaozunguka hiyo shule tabu ya maji ilikuwa inawatesa kwelikweli hadi wanafika kwenye tenki la shule kuchota ambayo wanafunzi wameoshea vyombo. Sijui walikuwa wanawezaje kuyatumia.
Nilipenda utaratibu wao wa kujali afya za wanafunzi upande wa chakula na kuwachemshia maji ya kunywa kila siku unaenda kuchukua na kuhifadhi.
Hapa nilipiga form 5 kwa miezi 6 nikasepa zangu. Msalimie mzee wa bios Mr. Chiwanga (jamaa alikuwa hashiki kitabu ila anashusha madude ya kitabu cha Biological Science/BS kama anayasoma vile moja kwa moja), jamaa mmoja mhaya wa kuitwa Daniel Kehogo (a.k.a USA boy) na Ngusuru mzee wa watu asiyezeeka
Yote kwa yote ni shule nzuri ikipata walimu na wanafunzi wanaoelewa kilichowapeleka shule
Hahah Mabibo moja.Kaka Dom 8 lilifanyiwa marekebisho walikua wanakaa wale innocents wa shule kule. Dom 7 ya juu ilikua ni kama uswahilini ya njoss, Kila aina ya uharifu shuleni ulikua kule na mabibo 😆😆😆