Gallery ya shule mbalimbali za Sekondari Tanzania

NDANDA BOYS HIGH SCHOOL ...MASASI MTWARA
View attachment 3046741
Hii siku hizi imekuwa boys na A-level pekee yake? Nilipiga hapo kidato Cha tano na sita ila wakati huo ilikuwa mchanganyiko wafulana na wasichana kuanzia kidato Cha kwanza mpaka Cha sita. Moja ya shule nzuri na kongwe kabisa. Ilianza rasmi 1906 ikiwa ni shule ya mission kabla ya kutaifishwa na serikali ya Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…