Gambling and betting addiction

Gambling and betting addiction

Nalipa ada, nalisha familia najiendeleza kwa namna flani. Kilicho niumiza ni kujipoteza katika addiction hii, sija wahi kupata addiction yoyote katika maisha yangu hata pornography ilinipita!! This is the first addiction na pia mbaya zaidi losses za 1M nililkua naweza kuzi mudu na ndo maana nimeweza kufanya upuuzi kama huu.
Mkuu.

Inaonekana mfumo wako wa utunzaji fedha ni wa personal account na mobile money, sasa Fungua account ambayo ukiweka fedha kutoa ni lazima utumie nguvu kidogo kama kuandika cheque na uende bank. Tena fungulia bank isiyo na mawakala kama BOA, MWANGAHAHIKABANK, EXIM, BARODA, EQUITY etc. Sababu akaunt unayotunza fedha inaurahisi sana wa kuivuta kuja kwenye simu na kuitumia katiba bet.

Hili likishindikana:

1-3m ni material enough hata kwa mtu mwenye uhakika wa kutengeneza kipato cha 10m each month, ongeza majukumu inaweza saidia kukufanya uone pesa uliyo nayo haitoshi na 1-3m ni kubwa sana kuipoteza.

Mfano wa jukumu:

Tafuta hata kijana asiyejiweza jiapize kumsomesha mpaka level fulani au tengeneza utaratibu wa kutoa ahadi ya mchango wa ujenzi wa madarasa, msikiti, kanisani, hospitali au vyovyote vile ilimradi uwe na jukumu litakalokufanya uone pesa unazotengeneza haitoshi na una uhitaji zaidi.
 
Aisee sijui inakuwaa ni pepo ganiii hili la kamariii...!! 2B zimesepaaa
Mkuu! China kuna sehemu panaitwa Maccau wao Casino ndiyo maisha yao ya kila siku! Wanacheza Casino balaa! Au Las Vegas Marekani wanacheza Casino hatari! Mtu analiwa hata 1B per night na wala hashituki! Wanakua na pesa mingi
 
Unajidanganya kaka mm nakupa wiki MOJA tu LAZMA utarud kundini mwenyewe bila kilazimishwa
Kama umeweza kudumu kundn KWA zaid ya 5years ,kirahs tahs tu uache ndan ya SIKU ? Never , hyo ni system ishaingia kwny damu ,it need extra force and commitment to leave it

Asante kwa maoni yako, si rahisi ni kweli lakini nita jitahidi kuweka commitment hiyo.
 
7M mbona pesa ndogo sana! Kuna mchina pale Palch Beach Casino alipigwa 500M per night! Akaenda kujipiga gun kwake huko! Casino inalipa but kua na financil respect! Mfano weka budget yako yakucheza Casino kama ni 1M basi! Ukiliwa toka nenda home kalale! Lakini ukienda ATM ku withdraw pesa nyingine uje kucheza tena, unapigwa tena!

Niliwahi kwenda kucheza Casino pale Sea Cliff! Nilienda na 100k! Nilitoka na 14M! Mwaka 2013! Nikawa naenda kucheza mara moja moja sana! Nikaja piga hesabu kwenye 14M zao wamerudisha 2M nika stop hadi 2015 nikawa naenda The Grand, Princes,Macau na Galaxy!

Nikaja kupata urafiki na mchina mmoja hivi! Alikua ananipa 500k zakucheza, nacheza nyingine nabana! Mungu si Athuman nilikua napata pata hizi 2M! Ila sio kwa pesa zangu,pesa za mchina na alikua na pesa mno! Maana kuna siku aliniambia toka aanze kucheza kamari kutokea huko kwao! Keshapoteza zaidi ya 2B

Na most of the time nime zungukia hizi casino nime kutana na wachina mostly nfo wako mule ndani, financial discipline ni muhimu sana la sivo maamuzi yanawez kufanya uwaze hata kujiua kama mambo yaki kuendea kushoto.
 
Mkuu.

Inaonekana mfumo wako wa utunzaji fedha ni wa personal account na mobile money, sasa Fungua account ambayo ukiweka fedha kutoa ni lazima utumie nguvu kidogo kama kuandika cheque na uende bank. Tena fungulia bank isiyo na mawakala kama BOA, MWANGAHAHIKABANK, EXIM, BARODA, EQUITY etc. Sababu akaunt unayotunza fedha inaurahisi sana wa kuivuta kuja kwenye simu na kuitumia katiba bet.

Hili likishindikana:

1-3m ni material enough hata kwa mtu mwenye uhakika wa kutengeneza kipato cha 10m each month, ongeza majukumu inaweza saidia kukufanya uone pesa uliyo nayo haitoshi na 1-3m ni kubwa sana kuipoteza.

Mfano wa jukumu:

Tafuta hata kijana asiyejiweza jiapize kumsomesha mpaka level fulani au tengeneza utaratibu wa kutoa ahadi ya mchango wa ujenzi wa madarasa, msikiti, kanisani, hospitali au vyovyote vile ilimradi uwe na jukumu litakalokufanya uone pesa unazotengeneza haitoshi na una uhitaji zaidi.

Nashukuru kwa mawazo, nimeanza kwa kuvunja card za checking account zangu zote nimebaki na card moja tu sasa ambayo sija I-link na mobile banking system, nikiona mambo yanaanza kuwa poa nitaenda zitengeneza hizi cards upya.

Next ni kujipa majukumu mapya kama ulivosema na nitaona na anza na lipi ili kuni keep busy. Kwa ufupi nitaenda kubadilisha lifestyle kwa kiasi kikubwa sana.
 
mkuu muue Liverpool, Munich, Madrid & Milan Ashinde[emoji1787][emoji1787][emoji1787].... Stake Mlima J2 kachukue Mafao yako ya kamari..! Sema Tawile [emoji1787]
Mtoepo liverpool
 
Nashukuru kwa mawazo, nimeanza kwa kuvunja card za checking account zangu zote nimebaki na card moja tu sasa ambayo sija I-link na mobile banking system, nikiona mambo yanaanza kuwa poa nitaenda zitengeneza hizi cards upya.

Next ni kujipa majukumu mapya kama ulivosema na nitaona na anza na lipi ili kuni keep busy. Kwa ufupi nitaenda kubadilisha lifestyle kwa kiasi kikubwa sana.
Pamoja sana mkuu
 
Hahaa hata leo umetandika mkeka kweli kanji haepukiki
I cross my fingers and hope for the best to happen. I placed my last bet today na nitajitahidi kuepuka haya maisha at all costs.
 
Hongera kwa kufanya commitment za kuacha, I personally think betting is for rich people.

Okay, I have a friend.. anafanya kazi katika one of UN agencies. Making up to 9M a month ila ni betting addict vibaya. Imagine mtu anayelipwa up to 10M ila kuna siku ananiomba mimi 50K au 100k. He is approching 50 of age... bado anakaa kwenye flats... No wife (which is okay, His life his choice) 4 kids kila mtoto na mama yake... no family organisation at all.

Muda wote ni yeye na mkeka, mkeka na yeye. Na anajua kweli kufanya analysis, Na nisimsemee uongo anazipiga mara kwa mara hizi 18M, 17, 22, 32 etc.. Lakini sijui kama anafanya calculations ya pesa anazopoteza.

I knows nothing at all in betting lakini najua anapoteza pesa nyingi sana sababu hakutakiwa kuishi anavyoishi, alichojitahidi ni kununua vitu vizuri vizuri tu vya ndani. Ningejua namna ya kuficha baadhi ya details kwenye mkeka ningewapostia moja au mikeka miwili aliyoshinda. He is my best friend, Hamna kitu naweza fanya kumshauri chochote, Labda angepata Mke angebadilika. Its chaos guys. Ila sio mchoyo jamani akishinda ananitumiaga/ananipaga 500k-1M.
 
Jambo zuri,lakini kama kweli una nia ya kuacha uwezi kulala ukaamka umeacha ghafla hutoweza,nenda taratibu taratibu,anza na kupunguza stakes na idadi ya mikeka,kila siku unapunguza taratibu taratibu mpka ufike mkeka mmoja kwa siku na stake below 10k,
"“NEVER chase your losses.”
 
Mmelogwa aka vile nawaambia
Vijana wanaobet wapo muda wote vichwa vimeinama na huko mbeleni mtaumwa sana uti wa mgongo. Mnahitaji maombi huo ni uraibu wa kutisha angalieni msijinyonge siku moja.
 
Hongera kwa kufanya commitment za kuacha, I personally think betting is for rich people.

Okay, I have a friend.. anafanya kazi katika one of UN agencies. Making up to 9M a month ila ni betting addict vibaya. Imagine mtu anayelipwa up to 10M ila kuna siku ananiomba mimi 50K au 100k. He is approching 50 of age... bado anakaa kwenye flats... No wife (which is okay, His life his choice) 4 kids kila mtoto na mama yake... no family organisation at all.

Muda wote ni yeye na mkeka, mkeka na yeye. Na anajua kweli kufanya analysis, Na nisimsemee uongo anazipiga mara kwa mara hizi 18M, 17, 22, 32 etc.. Lakini sijui kama anafanya calculations ya pesa anazopoteza.

I knows nothing at all in betting lakini najua anapoteza pesa nyingi sana sababu hakutakiwa kuishi anavyoishi, alichojitahidi ni kununua vitu vizuri vizuri tu vya ndani. Ningejua namna ya kuficha baadhi ya details kwenye mkeka ningewapostia moja au mikeka miwili aliyoshinda. He is my best friend, Hamna kitu naweza fanya kumshauri chochote, Labda angepata Mke angebadilika. Its chaos guys. Ila sio mchoyo jamani akishinda ananitumiaga/ananipaga 500k-1M.

It gets the best of us at times lakini ndo tuna jitahidi ku fight the addiction, hope uta msaidia ku fight hili janga pia.
 
Jambo zuri,lakini kama kweli una nia ya kuacha uwezi kulala ukaamka umeacha ghafla hutoweza,nenda taratibu taratibu,anza na kupunguza stakes na idadi ya mikeka,kila siku unapunguza taratibu taratibu mpka ufike mkeka mmoja kwa siku na stake below 10k,
"“NEVER chase your losses.”

Nita jaribu kuacha moja kwa moja bila ku stake hela yoyote, nataka kuachana na hii kitu moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom