PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Huyu lofa ameshakata pumzi round ya Kwanza ya ubunge wake hizi style zake za visingizio hazitamfika popote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mteule.Yaleyale ya akina Bashite
Yaleyale ya akina Bashite
Hivi hayo nayoyanatoka moyoni mwenu kweli au maigizo tuu,au mbinu za kusafisha kashifa ya bakora.Nakaona hako kaDC ka arusha kama kanaharajati flani hivi kajinga kasikojua la kufanya .kana dhani ofisi ya DC ni sawa na ile ya uvccm iringa
Mkurugenzi wa jiji haitwi DED nduguMbunge wa Arusha Mjini ,Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha( DED ),kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake.
Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa uwt uliofanyika kwenye hotel ya Mount Meru jiji hapa nakusisitiza kwamba hata acha kuwatetea wananchi licha ya vikwazo vingi anavyopitia kwenye mikutano yake ya kutatua kero za wananchi.
"Nimesikia kwamba wamepanga kunikamata sitaogopa mtu Mimi ni mbunge ninayetimiza wajibu wangu sitishiwi Nyau na waache kufanya Mambo ya kishabiki"Alisema Gambo
Aliongeza kuwa Kuna mkakati unaoendeshwa na mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt John Pima wa kuwazuia watendaji kushiriki mikutano yake inayoendelea katika mitaa mbalimbali katika Jimbo la Arusha.
"Mkurugenzi amewahi kuwatoa watendaji wa halmashauri katika.kikao changu lakini kwa sababu ni mgeni naamini anaendelea kujifunza atazoea"alisema
Gambo anatuhumiwa kuwashawishi wafanyabiashara wa maduka wasilipe Kodi baada ya kuamuru maduka yaliyofungwa kwa sababu ya kutolipa Kodi yafunguliwe Jambo ambalo linaikosesha mapato serikali.
Gambo anajiamini sana.Mbunge wa Arusha Mjini ,Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha( DED ),kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake.
Gambo ameyasema hayo wakati akiongea kwenye mkutano wa Baraza la wanawake wa uwt uliofanyika kwenye hotel ya Mount Meru jiji hapa nakusisitiza kwamba hata acha kuwatetea wananchi licha ya vikwazo vingi anavyopitia kwenye mikutano yake ya kutatua kero za wananchi.
"Nimesikia kwamba wamepanga kunikamata sitaogopa mtu Mimi ni mbunge ninayetimiza wajibu wangu sitishiwi Nyau na waache kufanya Mambo ya kishabiki"Alisema Gambo
Aliongeza kuwa Kuna mkakati unaoendeshwa na mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt John Pima wa kuwazuia watendaji kushiriki mikutano yake inayoendelea katika mitaa mbalimbali katika Jimbo la Arusha.
"Mkurugenzi amewahi kuwatoa watendaji wa halmashauri katika.kikao changu lakini kwa sababu ni mgeni naamini anaendelea kujifunza atazoea"alisema
Gambo anatuhumiwa kuwashawishi wafanyabiashara wa maduka wasilipe Kodi baada ya kuamuru maduka yaliyofungwa kwa sababu ya kutolipa Kodi yafunguliwe Jambo ambalo linaikosesha mapato serikali.
Umewaza Kama mimiHivi siasa bado zipo
Niliwahi kusema ccm sio wamoja, bali kilichowafanya waigize kuwa ni wamoja na uwepo wa upinzani. Lakini upinzani ukikosekana lazima fitina, ghiliba, ushirikina na uhayawani mwingine wote utakaa wazi.Wapinzani hakuna sahv tunaumana wenyewe
Kwa wenyewe
Ova
..wanaosumbua Gambo wanaiga jinsi alivyokuwa akimnyanyasa Godbless Lema.
Anaitwa Nani eti?Mkurugenzi wa jiji haitwi DED ndugu
Gambo ana siasa za kishamba sanaMbunge wa Arusha Mjini ,Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha( DED ),kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake.