Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
CCM msituchoshe bana ... mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe ... mnalazimisha hamasa wala watu hawana time na nyinyi ... serekali yenu na watendaji wake haina mvuto sikwambii hao wabunge ndio kabisaaaaa!Lissu alipataka kusema "Wakitumaliza sisi" (wapinzani) wataanza na nyie (CCM) naona utabiri umeanza kutimia mapema sana.
Sasa ni wakati wao kukinywea kikombe, na hakiwaepuki watulie dawa iwaingie
View attachment 1680022View attachment 1680023
Mnatengeneza malumbano ili ionekane kuna amsha-amsha ya kukimbiza maendeleo ndio mnazidi kuharibu kabisaaaaaa mnaonekana kabisa mnacheza sinema za mzee yombayomba
Mlituahidi Tanzania tutaishi kama ulaya na mkasema wapinzani ndio walikua wanachelewesha maendeleo haya sasa tunasubiri msituletee mapichapicha ya kutengeneza hapa hamna amsha-amsha yeyote Hovyooooo ... !!!