Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Vipi Lema bado yuko ukimbizini?
Yes, yuko mahali pa ukweli yeye na familia yake, na watoto wake wanasoma shule za ukweli, sio hizi za kwenda na ufagio na dumu la maji. Na kisha watoto wake wakirudi hapa wanakuwa maboss huko ofisini kwa watoto wa Makada wa ccm.