Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Mpe pole boss wako maana ana mawazo mgando sana!Polee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe pole boss wako maana ana mawazo mgando sana!Polee
Maigizo ya seriesMleta mada kwanini unahisi ni maigizo?
Karma inatenda kazi"Bado vita ni kubwa, sitakubali"- Gambo
-
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ( @mrisho_gambo ) amedai baadhi ya viongozi wa Wilaya na Mkoa huo was Arusha wametishia kumkamata na kumuweka ndani kwa sababu ya kutekeleza majukumu yake.
"Unamuweka mbunge ndani kwa kipi na kwa sababu gani ? bado vita ni kubwa.
"Zamani tulikuwa tunapigana vita na wapinzani, sasa tunapigana vita na viongozi wenzetu ambao kazi yao ni kuhakikidha mbunge wa jimbo hafanyi kazi yoyote kitu ambacho mimi naapa kwa Mungu siwezi kukubali," amesema Gambo.
Mbunge huyo amedai viongozi hao wamekuwa wakiwataka watendaji wa taasisi za Serikali kutokwenda katika shughuli anazozifanya.
Na Mimi All - Rounder leo nasema ( nakuambia ) hapa kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani Mheshimiwa. Tubu makosa yako mengi.
Taarifa: mtanzanianews
Uko sahihi kwa 100% Ndugu na tena Mimi ningekuwa ndiyo Yeye ningenyamaza tu kwani Ukuu wake wa Mkoa uliwajeruhi na kuwaumiza wengi.Migambo inaruka na kukanyagana
Yeye alivyokuwa RC mbona alikuwa anawaweka wenzie ndani kwa masaa 48
Malipo huwa ni hapa hapa duniani,mtendee mwingine kile,unachotamani kutendewa na wapo aliowatendea anacholalamika leo,penguine hata yale masaa 48,hivo tulia ataleta mrejesho mwenyewe.Tuache upuuzi wa kingese kuwa tunasapoti upuuzi,kama anazuiwa kutatua kero za wananchi ni tatizo.
Uzuri huyo Lema ameamua kuwaachia uwanja wajimwambafai.Lema angekuwepo ndio angebebeshwa zigo kuwa yeye ndio anachochea
Huo upuuzi wenu wa huko lumumba msitusumbue nao.Upuuzi 60% + ufala 40%
Atavuna anachopanda , kwa unyama aliomfanyia Lema huyu Gambo niko tayari kuwadhamini pesa taslim hadi 10mil za madafu wanaomhujumuKina Gambo walikua wanamfanyia Lema haya anayolalamika anafanyiwa yeye leo.
In short Gambo huwa hana agenda zaidi ya vurugu, majigambo, ogomvi nk.