Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amewaambia viongozi wa wilaya ya Arusha na mkurugenzi wa jiji la Arusha(DED) kuwa hatakubali kukwamishwa na viongozi wa jiji la Arusha wakati akitekeleza majukumu yake....
Amesahau wakati akiwa RC alivyokuwa akimfanyia aliyekuwa Mbunge wa Arusha aliyepita? Anafikiri kuongoza ni mchezo wa kombolela?
 
Mbunge wa Arusha mjini ambaye ameanza kazi yake kwa kuchapa kazi ya kutatua kero za wananchi ameomba viongozi wa wilaya ya Arusha waache kumuingilia ili achape kazi na kutatua kero za wananchi.

Ikumbukwe kuwa amenza kwa kasi inayoweza kufananishwa na mwendo wa risasi kutatua kero za wananchi. Anafanya mikutano ya na wanachi ili kufahamu kero zao.

Ameshafanya makubwa ili kuchangia miradi ya maandeleo.

Lakini viongozi wa wilaya wanamchimba mkwara kana kwamba anafanya makosa,kiasi cha kutishia kumkamata.

Kwa muda mfupi ameonyesha jinsi gani mbunge aliyepita alishindwa kuwatumikia wananchi wa Arusha. Hivyo ameomba aachwe achape kazi kwa mujibu wa sheria.
 
huyu wala asingekuwa mbunge wa ar, amshukuru tu huyu uchwara tuliyenaye sasa!
 
Mbona hasemi aachwe na nani? wameshaanza kutafunana wao kwa wao matunda ya uchaguzi batili.
 
Mh Lema aliwahi kusema kuwa wakisha maliza wapinzani watahamia kwa wao kwa wao.https://www.instagram.com/p/CKIfPVTjNT2/?igshid=1rlfu6mk8cjuo
 
Tumikia tu! Wapinzani ndio walituchelewesha...Arusha kama California kwa Sasa!
 
Hii nchi si CCM ndio wanaiongoza.. sasa nani anamzuia CCM mmoja silete maendeleo??

#mitano tena
 
Anatafuta sababu ya kufail kwake kwa kuwasingizia wengine ili akishindwa aseme ni fulani waliomkwamisha yaleyale ya Tanesco na kunguru
 
Sio siasa hizi, ni kwamba kila mtu anapambana kukamilisha targets zake za kazi
Aliwahi kuniambia boss wangu ukiona kwenye uongozi wako idara zinakubaliana tuu kila kitu bila kuulizana na kuelezana changamoto ujue kuna tatizo[emoji23][emoji23]
Wafu wanazikana
 
Acha kutafuta huruma kwa Wananchi maana nawe uliwatesa Godbless Lema a Madiwani wa Chadema . Get a strap!
 
Sio siasa hizi, ni kwamba kila mtu anapambana kukamilisha targets zake za kazi
Aliwahi kuniambia boss wangu ukiona kwenye uongozi wako idara zinakubaliana tuu kila kitu bila kuulizana na kuelezana changamoto ujue kuna tatizo😂😂

View attachment 1679553
Boss wako ni kilaza!
 
Sio siasa hizi, ni kwamba kila mtu anapambana kukamilisha targets zake za kazi
Aliwahi kuniambia boss wangu ukiona kwenye uongozi wako idara zinakubaliana tuu kila kitu bila kuulizana na kuelezana changamoto ujue kuna tatizo😂😂

View attachment 1679553
Boss wako ni kilaza!
Wewe unamjua boss wangu kweli🙄?
Kama conclusion aliyokupa ndiyo hiyo, huyo ni kilaza na ana majungu ya kufa mtu!
 
1610940761757.png

"Bado vita ni kubwa, sitakubali"- Gambo
-
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amedai baadhi ya viongozi wa Wilaya na Mkoa huo was Arusha wametishia kumkamata na kumuweka ndani kwa sababu ya kutekeleza majukumu yake.

"Unamuweka mbunge ndani kwa kipi na kwa sababu gani ? bado vita ni kubwa.

"Zamani tulikuwa tunapigana vita na wapinzani, sasa tunapigana vita na viongozi wenzetu ambao kazi yao ni kuhakikidha mbunge wa jimbo hafanyi kazi yoyote kitu ambacho mimi naapa kwa Mungu siwezi kukubali," amesema Gambo.

Mbunge huyo amedai viongozi hao wamekuwa wakiwataka watendaji wa taasisi za Serikali kutokwenda katika shughuli anazozifanya.
 
Back
Top Bottom