Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mrisho Gambo acha kulia, Anza kuamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuki kwa nguruwe........ hata bado, soon utavuliwa uanachama wa CCM kwa utovu wa nidhamu. Ulikuwa RC tamaa yako na majisifu yamekuponza."Bado vita ni kubwa, sitakubali"- Gambo
-
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ( @mrisho_gambo ) amedai baadhi ya viongozi wa Wilaya na Mkoa huo was Arusha wametishia kumkamata na kumuweka ndani kwa sababu ya kutekeleza majukumu yake.
"Unamuweka mbunge ndani kwa kipi na kwa sababu gani ? bado vita ni kubwa.
"Zamani tulikuwa tunapigana vita na wapinzani, sasa tunapigana vita na viongozi wenzetu ambao kazi yao ni kuhakikidha mbunge wa jimbo hafanyi kazi yoyote kitu ambacho mimi naapa kwa Mungu siwezi kukubali," amesema Gambo.
Mbunge huyo amedai viongozi hao wamekuwa wakiwataka watendaji wa taasisi za Serikali kutokwenda katika shughuli anazozifanya.
Na Mimi All - Rounder leo nasema ( nakuambia ) hapa kuwa Siku zote Malipo huwa ni hapa hapa duniani Mheshimiwa. Tubu makosa yako mengi.
Taarifa: mtanzanianews
Sio tuu kuamini pamoja na kumrudia Muumba.Mrisho Gambo acha kulia, Anza kuamini
Huo upuuzi unao wewe na makhanithi wenzio, huyu mgambo wala si MTU, anavuna alichopanda.Tuache upuuzi wa kingese kuwa tunasapoti upuuzi,kama anazuiwa kutatua kero za wananchi ni tatizo.
Alidhani u CCM wake utambeba, matokeo yake anaambiwa afuate taratibu, anaanza kuliga kelele kama mbayuwayu.Gambo hajui tofauti ya mbunge na mkuu wa mkoa..
Anataka kutoa amri Kwa watendaji wa wa mkoa wakati yeye ni mbunge Tu
Huku tunamuita Mzee Wa siasa za fitina.Kina Gambo walikua wanamfanyia Lema haya anayolalamika anafanyiwa yeye leo.
In short Gambo huwa hana agenda zaidi ya vurugu, majigambo, ogomvi nk.
Sema hivii upuuzi 100% mtaa L na 0% mtaa unaokataa ya mtaa Lumumba.Upuuzi 60% + ufala 40%
Yaani iwe kiki awalaumu viongozi mbele ya media??Igizo tu ili wavute watu baada ya kuona watu wa Arusha wamempotezea. Anadhani akijifanya anataka kukamatwa ndio atapata umaarufu au uungwaji mkono kama ilivyokuwa kwa Lema.
Dc alipaswa kusweka ndani saa24 tu ajue kunafananaje
What goes around comes around.
Mnanyooshana muisome nambaKwenye khanga pia yapo!
AkapaonjeAnaogopa rumande ? Kuna waoiga kura kule aende tu hakuna shida maisha yapo pia....ndio kuwa maana siasa