Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

Huyu lofa ameshakata pumzi round ya Kwanza ya ubunge wake hizi style zake za visingizio hazitamfika popote
 
Haya mambo yalitabiriwa baada ya kumaliza upinzani
 
Nakaona hako kaDC ka arusha kama kanaharajati flani hivi kajinga kasikojua la kufanya .kana dhani ofisi ya DC ni sawa na ile ya uvccm iringa
Hivi hayo nayoyanatoka moyoni mwenu kweli au maigizo tuu,au mbinu za kusafisha kashifa ya bakora.
 
Mkurugenzi wa jiji haitwi DED ndugu
 
Gambo anajiamini sana.

Ni kiongozi asiyeyumbishwa.

Aliwahi kusema vijana walioko UVCCM wakizeeka watakuwa wachawi!
 
Gambo unahitaji kujitathimini kabla hujapotea kabisa kwenye siasa. Wewe mtu ni mpenda mafarakano sana. Angalia kote ulikopita umesababisha mitafaruku isiyo ya msingi. DC Kenan ni kiongozi makini sana,am sure ameshakusoma kuwa unataka kumpanda kichwani na sasa atakushughulikia ipasavyo. Kumbuka maneno ya Bw. mkubwa ulipoanza mchakato wa kisiasa. Jirekwbishe otherwise utakuwa mbunge wa muhula mmoja tu.
 
Gambo ana siasa za kishamba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…