Gambo amwambia DED na viongozi Arusha hatishiwi Nyau

Lissu alipataka kusema "Wakitumaliza sisi" (wapinzani) wataanza na nyie (CCM) naona utabiri umeanza kutimia mapema sana.

Sasa ni wakati wao kukinywea kikombe, na hakiwaepuki watulie dawa iwaingie
View attachment 1680022View attachment 1680023
CCM msituchoshe bana ... mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe ... mnalazimisha hamasa wala watu hawana time na nyinyi ... serekali yenu na watendaji wake haina mvuto sikwambii hao wabunge ndio kabisaaaaa!

Mnatengeneza malumbano ili ionekane kuna amsha-amsha ya kukimbiza maendeleo ndio mnazidi kuharibu kabisaaaaaa mnaonekana kabisa mnacheza sinema za mzee yombayomba

Mlituahidi Tanzania tutaishi kama ulaya na mkasema wapinzani ndio walikua wanachelewesha maendeleo haya sasa tunasubiri msituletee mapichapicha ya kutengeneza hapa hamna amsha-amsha yeyote Hovyooooo ... !!!
 
......Majivu yarushwapo mara nyingi hupeperukia usoni mwa mrushaji....
 
Naona huwafahamu vizuri mabeberu wewe. Wakitoka huko lazima watakuwa wameharibika kwenye ubongo wao kwa ubaguzi watakaokuwa wanatendewa. Tembea uone mwanasaccos!!

Ubaguzi uko kila mahali dunia hii, isipokuwa unatofautiana sehemu na sehemu.
 
Yule DC amekaa bibabe ukikaa vibaya anakulamba makofi maana ni mtu wa mazoezi
 
Ila huyu pumb*** anapenda sana vijineno neno na migogoro isiyokuwa na kichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…