Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Kwani Gambo kujihuzulu ni kupigana? kuwa na akili kidogo basi
Akili ww ndo hutumii. Gambo kasema kuna wenye nguvu kuliko yeye waliokuwa chini yake maana yake ni kuwa alikwamishwa kwenye kupigania anachoamini na wenye nguvu walio chini yake. BABATI
 
Kazi kutoa visingizio tu, wakiambiwa suala la kuleta katiba mpya ili kuondoa mamlaka makubwa ya kikatiba yaliyolimbikizwa kwa mtu mmoja, ambaye anaweza kufanya jambo lolote lile vile ambavyo atakavyo yeye bila hata kuhojiwa, bado wao wanashupaza shingo zao wakifikiri wanawakomoa wapinzani. Kalaghabao!
 

Awamu ile ilikuwa ya kishamba sana.
 
hapo anajaribu kudondosha jumba bovu kwa DC wake ambaye walikua na beef balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…