Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Kwani Gambo kujihuzulu ni kupigana? kuwa na akili kidogo basi
Akili ww ndo hutumii. Gambo kasema kuna wenye nguvu kuliko yeye waliokuwa chini yake maana yake ni kuwa alikwamishwa kwenye kupigania anachoamini na wenye nguvu walio chini yake. BABATI
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo
Kazi kutoa visingizio tu, wakiambiwa suala la kuleta katiba mpya ili kuondoa mamlaka makubwa ya kikatiba yaliyolimbikizwa kwa mtu mmoja, ambaye anaweza kufanya jambo lolote lile vile ambavyo atakavyo yeye bila hata kuhojiwa, bado wao wanashupaza shingo zao wakifikiri wanawakomoa wapinzani. Kalaghabao!
 
1623932015229.png
 
"Watu wanasema mbona Gambo alikuwa m/kiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa lakini task force wakafanya unyang'anyi? Hawaelewi kuwa uongozi uliopita Ungeweza kuwa RC Ila kiongozi wa ngazi ya chini akawa na nguvu kutokana na anayemtuma kufanya mambo bila hata RC kujua" - Mh Mrisho Gambo

Awamu ile ilikuwa ya kishamba sana.
 
hapo anajaribu kudondosha jumba bovu kwa DC wake ambaye walikua na beef balaa.
 
Back
Top Bottom