Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwani Gambo kujiuzulu ni kupigana? Kuwa na akili kidogo basi.Nyerere hakupigana vita aliyojua atashindwa ewe babati. Tulipigana kwa makaratasi na tulijua tutashinda maana hata hao waimgereza hawakuhitaji sana koloni liendelee.