Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

Mnaohoji eti kwanini Gambo hakujiuzuru kupinga yaliyokuwa yanafanyika wakati ule, mnajitoa ufahamu tu na 99.99% kati yenu msingekuwa na ujasiri wa kutoka hata huu tu wa kuja na kuyasema haya sasa hivi.

Gambo anachosema ni ukweli mtupu. Jiwe was something else na bila shaka Gambo anaelewa zaidi yenu ninyi nini kingempata wakati ule kama angefurukuta
 
Alishaambiwa kuwa anaongea sana,kuwachongea wenzake.
Sasa hivi anamchongea Mwendazake
 
Mbona RC wa Kilimanjaro alijihuzulu?
May be alipata ruhusa maalum, si unajua jamaa alivyokuwa double standards? Kumbuka ishu ya Bashite na vyeti feki or kuna watu aliwatisha wateule aliwatisha wasigombee ubunge atawakata, wakati wengine akawapa baraka zote! Alikuwa haeleweki
 
Watu 60M kwanini tulikubali kuendeshwa na akili ya mtu mmoja?
 
Huyu GAMBO akapimwe akili.Kama aliyaona hayo kwanini hakujiuzulu mapema?Gambo ni mnafiki na punguani kabisa.Alipewa ukuu wa mkoa na JPM.Pia ubunge.Lakini bado anamlaumu.LILIBEBWA MGONGONI NA JPM NA BADO LINASEMA MGONGO WA JPM UNANUKA.PUMBAFU HILO.MAMA SAMIA ACHANA NA MANAFIKI KAMA HAYA.UKIYACHUKUA NA WW YATAKUSEMA TU.YAPO MENGI TU.NAYEENE.

Bora akae kimya kuliko kuonesha unafiki na ujinga wake.
 
Nadhani issue sio kama Gambo ni msafi na mtu mwema..., Hapana, hapa issue ya maana ni kama lile analolisema lina Ukweli...., Na ni vipi tunaweza tusirudie makosa kama hayo tena....

fool me once, shame on you; fool me twice, shame on me
 
Huyu GAMBO akapimwe akili.Kama aliyaona hayo kwanini hakujiuzulu mapema?Gambo ni mnafiki na punguani kabisa.Alipewa ukuu wa mkoa na JPM.Pia ubunge.Lakini bado anamlaumu.LILIBEBWA MGONGONI NA JPM NA BADO LINASEMA MGONGO WA JPM UNANUKA.PUMBAFU HILO.MAMA SAMIA ACHANA NA MANAFIKI KAMA HAYA.UKIYACHUKUA NA WW YATAKUSEMA TU.YAPO MENGI TU.NAYEENE.

Nyuzi nyingine hizi bora mngetumia ile busara yenu ya siku zote ya kupita juu kwa juu.

Kwani wenzio wengine unawaona hapa?
 
Watu 60M kwanini tulikubali kuendeshwa na akili ya mtu mmoja?
Watu hawakumwogopa yeye, waliogopa vyombo vya dola alivyovishikilia, kama ulikuwa unamfuatilia kwa karibu alikuwa anajipendekeza sana kwa vyombo vya dola
 
Kama watu elfu 30 tu wangekuwa na msimamo kama wa Lissu sidhani kama angetupeleka kama alivyokuwa anafanya.
 
Mnaohoji eti kwanini Gambo hakujiuzuru kupinga yaliyokuwa yanafanyika wakati ule, mnajitoa ufahamu tu na 99.99% kati yenu msingekuwa na ujasiri wa kutoka hata huu tu wa kuja na kuyasema haya sasa hivi.

Gambo anachosema ni ukweli mtupu. Jiwe was something else na bila shaka Gambo anaelewa zaidi yenu ninyi nini kingempata wakati ule kama angefurukuta
Mbona akina Lissu walipigwa risasi na bado wakaendelea kuwa na misimamo yao? yule ni mjinga sn alimfanyia Lema unyama wa kijinga sn.
 
Enzi za utawala wa mwendakuzimu DC wa kakonko kigoma alikuwa anaweza kwenda namtumbo ruvuma au Dodoma na kupiga paranja la kufa mtu na hakuna RC wa mkoa uliovamiwa, ambaye angeweza hata kukema.
 
Enzi za utawala wa mwendakuzimu DC wa kakonko kigoma alikuwa anaweza kwenda namtumbo ruvuma au Dodoma na kupiga paranja la kufa mtu na hakuna RC ambaye angeweza hata kukema.
Wakina Nyerere wangefanya ujinga wa akina Gambo nchi isingepata uhuru
 
Kama watu elfu 30 tu wangekuwa na msimamo kama wa Lissu sidhani kama angetupeleka kama alivyokuwa anafanya.
Haya mambo ni kote mkuu, i dont know ukondoo huu unatoka wapi, China kuna watu 1.5b lakini wafanya maamuzi makubwa hawazidi 2000 wapo Beijing, hayajalishi hayo maamuzi yanaumiza watu or no lazima wayatekeleze
 
Back
Top Bottom