Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Huyu ni Gambo Gani,
Ni Yule Ambae Aliagiza Pesa Za Lambi lambi kwenye Ajali Ya Luck Vicent School Zisiende Kwa Family Bali Sikarabati Hospital??.
 
Kwani mbona inaandamwa hifadhi ya chato pekee? Hifadhi zingine za taifa zimeingiza shilling ngap?mfn selouz,katavi national park,mikumi national park, n.k mtaongezea
 
Ni sahihi alivyouliza lakini pia kama lengo ni kukuza na kuongeza vivutio vya utalii ni lazima tubuni vipya, kuboresha vilivyopo na kuvitangaza kama ilivyo kwa Burigi chato.
Sasa sijui kivip hapo JPM alikosea kama comment za wengi zilivyo. Chuki tu
 
Nawaza yaan itokee tu mtukufu arudi eti anawaambia sjafa nlikuwa nawaskilizia nione[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hajajajahaaaaaaaa kila mtu atajikana
Which ni illusion na story za kusadikika
 
hii nchi tulipofikia inabidi tumkodi Obama aje awe rais wetu kwa muda,nchi kila mabadiliko ya rais inaanza upya ki fikra, mtazamo na miradi ya maendeleo! machinga wa mwanza mjini walioziba barabara na maduka makubwa ya walipa kodi watatokaje? ngoja tuone
Hapa napasubiri vibaya sana mkuu, kazi ipo [emoji16]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Vile viongozi wetu walivyo ina reflect aina ya wananchi pia tulivyo. Sishangai
 
Back
Top Bottom