Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Ni sahihi alivyouliza lakini pia kama lengo ni kukuza na kuongeza vivutio vya utalii ni lazima tubuni vipya, kuboresha vilivyopo na kuvitangaza kama ilivyo kwa Burigi chato.
Sasa sijui kivip hapo JPM alikosea kama comment za wengi zilivyo. Chuki tu

"Sasa sijui kivip hapo JPM alikosea kama comment za wengi zilivyo."

Wewe hujui wengi wape?
 
Swali langu kwa mh Gambo ni kwamba? Laiti hayati JPM angekuwepe, angeweza kuuliza hili swali?.
 
Swali langu kwa mh Gambo ni kwamba? Laiti hayati JPM angekuwepe, angeweza kuuliza hili swali?.

Angalizo kwa Gambo na wote wenye tabia kama hizo: Tujifunze kuweka ushabiki wa kipumbafu pembeni.

Watu kama hao hawawezi kukwepa lawama kwa nchi hii kuchezewa sana.
 
Akishajia then inamsaidia nini wakuu. Hiyo sii ni mbuga ikiingiza hela au kutoingiza hela serikali inapungukiwa nini. Hili ndio tatizo la ukosefu wa elimu ya uelewa Tanzania.
 
Yaani nimechoka, ina maana hawa jamaa wametudanganya sana,heeee. Hawa ndo walikuwa praise team leo ndo wanageuka namna hii. Unajua hawa ndo watasababisha CCM ipate tabu 2025. Hakuna kitu kibaya kama kudanganya watu na kuonyesha rangi za kujibadilisha badilisha kama vinyonga. Ujue wananchi tuna vichinjio. CHADEMA mtarudisha majimbo mengi sana na kuzidi kama mkicheza political game vyery smart. Hawa watu ni wa kupiga kweli kweli 2025.
 
Gambo tena?
Si alikuwa naye kipindi kileeee.....!
Akili imemrudia?
Somo la Sabaya liwaingie akilini viongozi waliokuwa wababe wa kuvunja sheria.
 
Burigi toka imeanza ina muda gani na kipi kimewekezwa kwa haraka kiasi hiki kuanza kujua faida yake
 
In fact mbuga zote za wanyama nchi hii isipokua Serengeti zinachangia 15% ama chini ya hapo ya mapato ya utalii yanayopatikana

Hii nchi utalii ni Serengeti na Serengeti ndio utalii wa Tanzania, mbuga nyingine zote tungezifunga tu ama tuwape wananchi wajenge makazi yao.
 
Back
Top Bottom