Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Gambo: Twambieni Hifadhi ya Burigi Chato imeingiza kiasi gani?

Nawaza yaan itokee tu mtukufu arudi eti anawaambia sjafa nlikuwa nawaskilizia nione🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hajajajahaaaaaaaa kila mtu atajikana
Comment ya mwaka hii. Hapo ndipo watu wataelewa kwamba dhana ya ufufuo kama ule wa Lazaro haikubaliki kiuhalisia.

Kama kweli Askofu Rashidi angekuwa anafufua wafu, sipati picha ya mtafutano ambao ungetokea kwenye jamii. Bila shaka mwisho wa dunia ungewasili mapema.
 
Nawaza yaan itokee tu mtukufu arudi eti anawaambia sjafa nlikuwa nawaskilizia nione[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hajajajahaaaaaaaa kila mtu atajikana
[emoji23][emoji23][emoji23] tena mchana kweupeeeh.
 
Nashangaa sana watu badala ya kuchangia hoja aliyotoa Gambo watu wamebakia kuongelea watu, hii ni akili ndogo sana, tuchambue hoja iliyo mezani na siyo kuhoji mahusiano ya watu!

Me naona Gambo ana hoja ya msingi sana! Kama serikali inataka kweli kuwa na ushindani wa soko inabidi kuangalia policy za nchi za utalii ni mbovu sana!
Mfano Gambo katoa hoja wenzetu wameangalia mtikisiko wa uchumi wa dunia kutokana na ugonjwa wa korona na kuona watu wengi wameadhirika na hawataweza kusafiri kwenda sehemu ambazo ni ghali, wakashusha bei ya kuingia kwenye vivutio vyao kwa 50% ili kuweza kupokea wageni wengi zaidi!

Wageni wengi watakaokuja wataenda kuwaambia wenzao na wenzao wengi wataendelea kuja Kenya! Muda si mrefu Kenya itaanza kuonekana kama destination iliyo na gharama nafuu kwa Afrika so watapokeaa watalii wengi sana!!

Tanzania watengeneza policy badala ya kupunguza bei wao wamepindisha bei zaidi! Utalii wetu ni ghali sana, pamoja na kuwa ghali namna hii kipindi hiki ambacho uchumi wa dunia upo hati hati kwa sababu ya korona sisi tumepandisha bei tena! Na bado tunategemea kupokea watalii wengi tuwashinde Kenya! Labda miaka mia ijayo!

Sielewi kama hawa wanaotengeneza policy wanaangalia mazingira ya uchumi wa dunia unavyoenda na ushindani wa wapinzani wetu upoje au wanakurupuka tu bila kufanya research!

Nashauri watendaji wa sector ya utalii wawe wanawashirikisha pia stakeholders wa utalii ili waweze kupata changamoto wanazopitia kabla ya kupitisha policy za wizara!!
 
Duuuh Gambo leo hii ana hoji mbuga ya Burigi Chato? Ama kweli Unafiki hauwezi kuisha kamweeeh, lol
 
Yaani nimechoka, ina maana hawa jamaa wametudanganya sana,heeee. Hawa ndo walikuwa praise team leo ndo wanageuka namna hii. Unajua hawa ndo watasababisha CCM ipate tabu 2025. Hakuna kitu kibaya kama kudanganya watu na kuonyesha rangi za kujibadilisha badilisha kama vinyonga. Ujue wananchi tuna vichinjio. CHADEMA mtarudisha majimbo mengi sana na kuzidi kama mkicheza political game vyery smart. Hawa watu ni wa kupiga kweli kweli 2025.
Mimi nawaona ACT wakikaa vizuri wanaweza chukua majimbo mengi sana mfano hilo la Gambo
 
Akishajia then inamsaidia nini wakuu. Hiyo sii ni mbuga ikiingiza hela au kutoingiza hela serikali inapungukiwa nini. Hili ndio tatizo la ukosefu wa elimu ya uelewa Tanzania.
Gharama za uendeshaji National Park ni kubwa sana kuliko gharama za kuendesha Game Reserve. Lile pori lilikuwa Game revserve hivyo linaweza kurejeshwa huko ili kusave pesa za uendeshaji kama National Park.
 
Akae kimya hivyo hivyo
Aisee. Ndio kama vile ndoa yao na Jiwe ikifungwa, mchungaji/padri akakomelea “…speak now or forever hold your peace”! 🤣

Sasa mzee kufariki jamaa anajichomoa kwenye kiapo kinamna. Ndio, amesema vyema. Amedhihirisha uzima wa akili. Lakini bado - this is not fair.
 
Hifazi zote zina faida na bado tunatakiwa kuyapandisha hazi mapori tengefu, Tatizo ni Serikali kutoruhusu wawekezaji kwenye hizo hifadhi, na makodi makubwa na mengi, na hakuma matangazo hizo ndio shida kubwa, Hifazi ya Chato na zingine ni zahabu, Wajaribu kutoa hayo makodi, uone kama hujaona private jeti zikitua chato,nyerere np, ruaha, kila mahali, Dar es salaam ni Jiji ambalo unaweza libadilisha ndani ya mies 6 likapokea watalii milioni kumi kwa mwezi, Tanga, Mtwara kila mahali ni pesa, weka Watu wawekeze, ruhusu Ndege zitue, punguza makodi, alika hotel Kubwa kuwekeza, weka usalama wa kutosha, ondo sheria mbovu za pesa, ruhusu Kampuni wajende majumba ya kupangisha watu/office. ni Rahisi sijui hawa viongozi wanashindwa nini kufanya kazi Ndogo kama hii.
 
Gharama za uendeshaji National Park ni kubwa sana kuliko gharama za kuendesha Game Reserve. Lile pori lilikuwa Game revserve hivyo linaweza kurejeshwa huko ili kusave pesa za uendeshaji kama National Park.
achana na mapoli waza mambo ya msingi kwa hiyo lengo lako ukawatoe wale wanyama au, achana na hizo mambo
 
Ni sahihi alivyouliza lakini pia kama lengo ni kukuza na kuongeza vivutio vya utalii ni lazima tubuni vipya, kuboresha vilivyopo na kuvitangaza kama ilivyo kwa Burigi chato.
Sasa sijui kivip hapo JPM alikosea kama comment za wengi zilivyo. Chuki tu
Unakubaliana na kauli ya Gambo kuhusu Burigi?
 
Kweli awamu ya tano waliwaroga vijana na ccm hawakuweza kuona makosa ya mwendazake mpaka alipo waacha

Kweli unafiki unaumiza mioyo ya wananchi wasio na hatia
 
Back
Top Bottom