Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

Game nalikubali sana hili ngoja nitafute storage yakueleweka nianze kucheza game
 
Gaming laptop , gaming desktop, Ps 4/5 Kila mtu na chaguo lake ila kwangu gaming laptop ni Bomba na desktop hapo gaming laptop update cooling pad yake ya feni 3 mpaka nne aha Unyama asee

Wazee wa GTX 1050,1650 ,rtx 2060-4060 πŸ”₯
 
Back in the day Call of duty modern wa fare II & III , advanced war fare. Ili bamba sana. Sikuizi utu uzima nimewaachia madogo
Kucheza game ni DNA siwezi acha hta nifike age ya 50 tuombe uzima tu na afya nzuri
 

miaka hiyo nipo chuo nilipata fursa ya kuwa na gaming laptop ilikuwa inasupport cysis 2 and 3, aise nilikosa presentation na vipindi vya kutosha sana miaka hiyo na kula sapu sababu ya game,
i was so iddicted zaidi ya kawaida, yani nilikuwa teja
 
Utoto Raha ila nashukuru I play all 4 generations of ps ps 5 siwezi cheza is just childish stuff ku concentrate na video games labda in the future nifanye kama biashara
Then wich things for adults
 
Horde wote kwenye ramani niliwamaliza.

Hakuna kitu nilikuwa napenda kama kupigana na horde.
 
Tomb raider na uncharted pia nazikubali sana.

Hasa kufumbua mafumbo zinafanya kuumiza sana akili.
 
Huwa nakereka kwenye Ages of Empires Expansion ukichelewa kukiua kile kibabu kichawi kinabadilisha trebuchets zangu au stone engines zangu kuwa za kambi yake kikizibadilisha kichawi zana zako za vita kuwa za jeshi lao zana hizo zinaanza kukushambulia zinakuwa jeshi la maadui zako wa kirumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…