Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

Game gani lilikuteka kihisia ukajihisi na wewe ni muhusika ndani ya game

Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu

Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna uvumilivu unaweza usimalize mission wale wadudu ukiwaona tu kwanza vidole vinajaa Jasho ghafla pili mapigo ya moyo yanaenda mbio mpaka unamaliza kuwauwa unakuta baadhi ya vitu vyako vilivyokua mezani vimedondoka chini mpaka unafikili kama ulikua unapambana nao liveView attachment 3196996View attachment 3196997View attachment 3196998View attachment 3197000
Game nalikubali sana hili ngoja nitafute storage yakueleweka nianze kucheza game
 
Gaming laptop , gaming desktop, Ps 4/5 Kila mtu na chaguo lake ila kwangu gaming laptop ni Bomba na desktop hapo gaming laptop update cooling pad yake ya feni 3 mpaka nne aha Unyama asee

Wazee wa GTX 1050,1650 ,rtx 2060-4060 🔥
 
crysis-3-keyart.jpg.adapt.crop1x1.767p.jpg

miaka hiyo nipo chuo nilipata fursa ya kuwa na gaming laptop ilikuwa inasupport cysis 2 and 3, aise nilikosa presentation na vipindi vya kutosha sana miaka hiyo na kula sapu sababu ya game,
i was so iddicted zaidi ya kawaida, yani nilikuwa teja
 
Utoto Raha ila nashukuru I play all 4 generations of ps ps 5 siwezi cheza is just childish stuff ku concentrate na video games labda in the future nifanye kama biashara
Then wich things for adults
 
Hi?
DAYS GONE ni game ambalo liliniteka kihisia na kiakili mpaka nikajihisi na mimi ni moja ya character wa mule ndani ya game mpaka siku ile namaliza mission ya mwisho najihisi kama naenda kupoteza marafiki zangu niliodumu nao kwa muda mrefu

Warning Mission za Horde ni za kuepuka kama hauna uvumilivu unaweza usimalize mission wale wadudu ukiwaona tu kwanza vidole vinajaa Jasho ghafla pili mapigo ya moyo yanaenda mbio mpaka unamaliza kuwauwa unakuta baadhi ya vitu vyako vilivyokua mezani vimedondoka chini mpaka unafikili kama ulikua unapambana nao liveView attachment 3196996View attachment 3196997View attachment 3196998View attachment 3197000
Horde wote kwenye ramani niliwamaliza.

Hakuna kitu nilikuwa napenda kama kupigana na horde.
 
Tomb raider na uncharted pia nazikubali sana.

Hasa kufumbua mafumbo zinafanya kuumiza sana akili.
 
Huwa nakereka kwenye Ages of Empires Expansion ukichelewa kukiua kile kibabu kichawi kinabadilisha trebuchets zangu au stone engines zangu kuwa za kambi yake kikizibadilisha kichawi zana zako za vita kuwa za jeshi lao zana hizo zinaanza kukushambulia zinakuwa jeshi la maadui zako wa kirumi
 
Back
Top Bottom