Nitafika huko maana kila siku kuanzia saa 5 usiku hadi saa 6 usiku lazima nicheze angalau 10 hadi 20...
Tatizo la hili game ukipoteza simu unaanza upyaa
Nipo level 16 sababu sichezi sana lakini tukipiga match nakutoa super moja matata sana huchezi kete hata moja!
Hiyo unachezaje mkuu, ni gemu gani?
Asee hii kitu nizaidi ya kilevi..Gem zasimu zilichemsha sana kichwa changu yn unakuta upo umetulia unawaza mambo mengine kabisa lkn kichwani unakuta gemu tu ndo linalozunguuka kwa kasi yn ilikua nikiwa free hata sekunde 10 lazima nicheze ili niongeze levo zaid nazaid nilikua naamka hadi night kali nacheza,kwakweli tangu kile kimeo kipotee nikanunua kimeo kingine yapata mwaka sasa sijadanlod tena Gemu lolote
Fundi maiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana.
Kuna level nyingine ngumu ngumu zinachosha yaani. Mimi kuna level ilinitesa karibia wiki.
Mkuu niadd nikufunge kiuhakika mi level 59 kaka yako
Umetisha ila I hope nitakukutaView attachment 1233755
Toon Blast Level 2407
Jina ni hilo linalojionesha iko vizur hiyo game ipo mpka level 95 nimeshamaliza zote.Zumo bhana kuna original version yake?maana naona kila unaposhinda wanakurudisha mwanzo
Sio zuma hii ni ZumblaHiyo Zuma ni ipi mbona mi nacheza level zinaisha hadi narudishwa stage ya kwanza
Asante ngoja nifanye hivyoLink hiyo account na Facebook account yako ili kusecure informations zako.
Mimi kila siku natenga lisaa limoja pia.
Candy crush saga level 1642Candcrush level ya 2400
Haha wapi engineerFundi maiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana.
Kuna level nyingine ngumu ngumu zinachosha yaani. Mimi kuna level ilinitesa karibia wiki.
Farm Hero Saga nilifika level ya 2500, ikaja kupotea nilivyobadili simu. Sikuwahi jua kama kuna jinsi ya kusave progress.
Nimeanza upya nipo level ya 1600.
Diamond Diaries nayo nilipoteza levels 2500 kwasababu sikujua kusave progress. Sahivi nipo level ya 300 na kitu.