Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Game gani, na upo level gani kwenye simu?

Nitafika huko maana kila siku kuanzia saa 5 usiku hadi saa 6 usiku lazima nicheze angalau 10 hadi 20...

Tatizo la hili game ukipoteza simu unaanza upyaa

Link hiyo account na Facebook account yako ili kusecure informations zako.

Mimi kila siku natenga lisaa limoja pia.
 
Yeah hata mi huwa na link na fb,hata ukiformat simu baadaye unaanzia hapo hapo
Link hiyo account na Facebook account yako ili kusecure informations zako.

Mimi kila siku natenga lisaa limoja pia.
 
Hiyo hutegemea na upigaji. Hata mimi nacheza sana bila ya mwenzangu kucheza ingia na utafute jina mstaarabu utanipata.
Nipo level 16 sababu sichezi sana lakini tukipiga match nakutoa super moja matata sana huchezi kete hata moja!
 
Mkuu kama hii toonblast mnakuwa group limit watu 50,sasa unakuta mnashindana kila mtu anataka kuwa wa kwanza
Asee hii kitu nizaidi ya kilevi..Gem zasimu zilichemsha sana kichwa changu yn unakuta upo umetulia unawaza mambo mengine kabisa lkn kichwani unakuta gemu tu ndo linalozunguuka kwa kasi yn ilikua nikiwa free hata sekunde 10 lazima nicheze ili niongeze levo zaid nazaid nilikua naamka hadi night kali nacheza,kwakweli tangu kile kimeo kipotee nikanunua kimeo kingine yapata mwaka sasa sijadanlod tena Gemu lolote
 
Hiyo Zuma ni ipi mbona mi nacheza level zinaisha hadi narudishwa stage ya kwanza
Fundi maiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali sana.

Kuna level nyingine ngumu ngumu zinachosha yaani. Mimi kuna level ilinitesa karibia wiki.
 
Umetisha ila I hope nitakukuta
Screenshot_20191015-113909_Toon%20Blast.jpeg
 
Zumo bhana kuna original version yake?maana naona kila unaposhinda wanakurudisha mwanzo
Jina ni hilo linalojionesha iko vizur hiyo game ipo mpka level 95 nimeshamaliza zote.
Screenshot_2019-10-15-10-39-07.jpeg
 
Link na Facebook,hata ukireset simu ukadownload tena level yako inabaki pale pale
Farm Hero Saga nilifika level ya 2500, ikaja kupotea nilivyobadili simu. Sikuwahi jua kama kuna jinsi ya kusave progress.
Nimeanza upya nipo level ya 1600.

Diamond Diaries nayo nilipoteza levels 2500 kwasababu sikujua kusave progress. Sahivi nipo level ya 300 na kitu.
 
Back
Top Bottom