Mashabiki wengi wa Simba wameshatengeneza mentality ya wao kushinda dhidi ya Yanga Tena kwa magoal mengi kwa kuamini Yanga ni mbovu.Me ni mshabiki wa Simba lakini kwenye derby chochote kinaweza kutokea kwa team zote mbili kitendo Cha Yanga kuaidiwa mil 200 na uongozi wao Kama wakishinda kitafanya wachezaji wao watajitoa kwel kwel.Na ipo wazi physically Yanga ni Bora kuliko Simba Sawa tunawaimba Chama, Luis unaweza ukashangaa Hawa wote wakawa chini ya kiwango au wakabanwa na ukitaka uiue Simba mzuie Mkude asiwe na madhara huyu ndio anayofanya Simba icheze ndomaana game ya kwanza alivyopotezwa Mkude Simba ilizidiwa especially kipindi Cha pili.
Ushauri wangu kwa mashabiki wenzangu wa Simba wasiingie na matokeo yao uwanjani matokeo yanapokuwa tofauti ndo tunaona matukio ya watu kufa kwa pressure wengine kuzimia Cha msingi tusubili dk 90 ndo zitakazo amua.