Games gani hukuzimaliza na kuishia kuzifuta tu kwenye pc au ps yako?

Assassins creed revelations lakini nilitumia simu
Screenshot_2024-09-14-23-29-52-47.png
 
Video game most of the time ni utoto ukiweka concetration kubwa sasaivi nacheza for pleausure tu ,ila ile game ya kivita maarufu ya warussia,hitman pia ya kwenda kumuokoa general nchi nyingine
 
Euro truck simulator humo nilishakua tajiri nikimiliki trucks kama 50 hivi na garage kibao nilizimiliki karibia nchi zote za europe nilikua namiliki garage,dah pc ikaja kuzingua nikakosa muendelezo 😀,now natumia pc ndogo ambayo naionea huruma hata kucheza super mario 😀
Kumbe ushakua Asas kwenye PC mkuu😃
 
Video game most of the time ni utoto ukiweka concetration kubwa sasaivi nacheza for pleausure tu ,ila ile game ya kivita maarufu ya warussia,hitman pia ya kwenda kumuokoa general nchi nyingine
Utoto how???

Wakati nyingi zinahitaji akili sana hata ukimpa huyo mtoto hawezi kucheza na nyingi rating ni 17+
 
Game nililofita Prince Persia kuna sehemu kila nikijaribu kuvuka nashindwa, nikaingia mtandaoni nikakuta kweli kile kipengele mtiti ila kuna solution yake

Nikaamua kufuata yale maelekezo lakini wapi

Nikalifutilia mbali. . .

Game niliyotaka kabisa kufuta kutokana na kushindwa mission ni GTA San Andreas kila kipengele cha mafunzo ya ndege

Dah nilisota sana, ila nikakomaa na kumaliza bila kutumia cheat hata moja mwanzo mwisho

Nimecheki PS5 ninekuta bei bado mtiti, hivyo naingia PS4 mdogo mdogo naendeleza jaramba

Nahisi hata nikiwa Babu sitoacha gaming labda macho yayumbe🤣

Ilinimalizia sana hela enzi za internet cafe sitoacha kufaidi sasa natumia hela zangu mwenyewe
 
Ps5 kushuka itaanza fat kwasababu tayari pro imetoka ila tutegemee mwakani bei zitashuka ila napo inaweza isiwe kivile now ni mil 1.5 hata ikishuka sana labda inaweza kwenda mil 1.
 
Ikifika hapo najilipua kwa kweli hata 1 sio mbaya, mchawi ni huyo nusu mzima kwa kweli

Ukiwaza na games kadhaa zilizokwenda shule tayari unagusa 1.8
 
Yaah kununua mil 1.5 ps5

Ni bora ubuild gaming pc.

Coz hiyo ps5 bado itakuumiza kwenye kupata games maana ni hela pia zitakutoka sana.
 
Gaming PC tayari ipo kwenye bajeti maana kazi nazosukuma day to day ili mkono uende kinywani zinahitaji PC ya kibabe vinginevyo sitoboi

Kama games za PC sio complicated kivile basi hiyohiyo ntaidouble matumizi, ikimbize Job na Hobby
 
Back
Top Bottom