Gamond kusema ukweli kutakuponza

Gamond kusema ukweli kutakuponza

Yanga timu inayoendeshwa kimauzauza.

View attachment 2862423
Hivi haya mauza uza alilipia nani?? Yanga inaendeshwa kimazingaombwe kama enzi za mwanamazingaombwe Profesa Singira.
Si mazungaombwe kama haya mliyo fanya South.
images (81).jpeg

Manake hayo mliyafanya kwa vitendo, kubadilisha mechi ya robo kuwa nusu,ila ndio hivyo CAF hawakufurahishwa na mazingaombwe yenu mkapigwa faini ya dola 5000.

Timu imejaa waganga mpaka wachezaji, sijui mzigo wa kuni na kiberiti alipanda nao nani kwenye ndege au humo namo kwenye ndege mlifanya mazingaombwe msionekane na mizigo ya kuni pamoja na viberiti.

Halafu wenyewe wanajifu kwa uweledi. Mialiko kama ile Hersi ataipata mingi sababu tayari kishaingia kwenye mifumo ya mpira,mpaka ngazi kubwa Africa so kila nafasi anayo ipata lazima aitumie kwa ajili ya CV yake hata saa nyingine na club. Halafu mbona vitu vidogo mnaumizwa navyo, unaweza kuta kajipostoa kama unavyoposti ww insta kwani nae ni binadamu kama wewe.Sema Profile na level yake ni tofauti na wewe,acheni kujikaraisha kufuatilia mambo ya Yanga.

Na mialaiko kama hiyo baada ya kushinda kiti ya uongozi wa club za Aftica (ambao mliuponda),ataipata sana ni yeye mwenyewe kuitumia kujijenga yy kiungozi na hata sometimes ktk club anayo isimamia.
 
Yule dogo alileta mambo yake tukamtimua kaja kwenu ndiyo mnataka kumtoa kafara Okrah!!
Mnatia aibu tena mbele kamera mechi inaonyeshwa Afrika nzima,mmepanda ndege na mizigo yenu ya kuni na vibiriti ili kuziharibu nyasi za watu na inawezekana humo kwenye ndege napo mlifanya mazingaobwe ili msionekane na mizigo yenu.
 
Kocha wa simba Zoran Maki alipotua kwenye timu hiyo akaanza kuongea kama vile ameletwa kuongoza timu ya Ulaya. Akaanza kukosoa viwango vya wachezaji wa timu ya Simba na mifumo ya uchezaji wao. Tunaozijua timu za Kariakoo tukajua anajipiga ngwala mwenyewe. Siyo muda akatimuliwa na Dejan wake naye akasepa.

Sasa Miguel Gamond kocha wa Yanga naye mara aseme mashindano ya "Champions League" siyo sawa na "Confederation", mara wachezaji wengine wa timu viwango vyao viko chini sana ukilinganisha na wale wa kikosi cha kwanza. Gamondi jichunge!!
Lazima aseme CL sio sawa na CC kwakua anajua mafanikio aliyoyapata NABI yeye kufikia ni ngumu
 
Back
Top Bottom