joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Si mazungaombwe kama haya mliyo fanya South.Yanga timu inayoendeshwa kimauzauza.
View attachment 2862423
Hivi haya mauza uza alilipia nani?? Yanga inaendeshwa kimazingaombwe kama enzi za mwanamazingaombwe Profesa Singira.
Manake hayo mliyafanya kwa vitendo, kubadilisha mechi ya robo kuwa nusu,ila ndio hivyo CAF hawakufurahishwa na mazingaombwe yenu mkapigwa faini ya dola 5000.
Timu imejaa waganga mpaka wachezaji, sijui mzigo wa kuni na kiberiti alipanda nao nani kwenye ndege au humo namo kwenye ndege mlifanya mazingaombwe msionekane na mizigo ya kuni pamoja na viberiti.
Halafu wenyewe wanajifu kwa uweledi. Mialiko kama ile Hersi ataipata mingi sababu tayari kishaingia kwenye mifumo ya mpira,mpaka ngazi kubwa Africa so kila nafasi anayo ipata lazima aitumie kwa ajili ya CV yake hata saa nyingine na club. Halafu mbona vitu vidogo mnaumizwa navyo, unaweza kuta kajipostoa kama unavyoposti ww insta kwani nae ni binadamu kama wewe.Sema Profile na level yake ni tofauti na wewe,acheni kujikaraisha kufuatilia mambo ya Yanga.
Na mialaiko kama hiyo baada ya kushinda kiti ya uongozi wa club za Aftica (ambao mliuponda),ataipata sana ni yeye mwenyewe kuitumia kujijenga yy kiungozi na hata sometimes ktk club anayo isimamia.