Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Huyu jamaa anaitakia nini kolouzidad?
FB_IMG_1709218956302.jpg
 
Mimi ni kolo huyu jamaa atatuua jamani.

Natamami aondoke Tanzania makolo tupate amani.

Kama yanga hii ilotupiga kono la nyani sio anayoitaka ikija anayoitaka si atatufunga kumi.

Huyu Gamondi afukuzwe Tanzania haiwezekani kocha asiwe na huruma hata kidogo.
 
Anataka 5imba wafe kifo cha mende..!! Na hivi Mudi kasema amepata hasra kubwa, basi nawaona jinsi wanavyokwenda kupigwa vibaya na kila anayekatiza mbele yao
Tangu ulipozimia kwenye banda la mpira. Umezinduka akili yako haijakaa sawa 😀😀😀
Malizia dozi kwanza ndugu. Utapona tu ndugu maana hizi ni dalili za mtu kurukwa na akili.
Wanaume wa Yanga wachunguzwe mademu ndiyo huwa wanazimia kwa furaha, sasa mwanaume unazimia😀😀😀😀😀
 
Mimi ni kolo huyu jamaa atatuua jamani.

Natamami aondoke Tanzania makolo tupate amani.

Kama yanga hii ilotupiga kono la nyani sio anayoitaka ikija anayoitaka si atatufunga kumi.
Tangu ulipozimia uwanjani, umezinduka akili yako haijakaa sawa.
Malizia dozi ya dawa ndugu maana hii ni dalili ya kuelekea milembe.
Pole sana, utapona tu😀😀😀
 
Kuna ukweli fulani hapo,maana nikikumbuka zile 1-5 za Koloizdad nawaonea huruma sana.

NB: Mangungu tuachie timu yetu
 
Back
Top Bottom