Gamond: Yanga nayoitaka bado kidogo

Huyu jamaa anaitakia nini kolouzidad? View attachment 2920283
Tangu ulipozimia uwanjani, akili yako haijakaa sawa.
Malizia dozi za dawa kwanza maana huko unakoelekea utapelekwa milembeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mwanaume unazimiaje uwanjani kwa Yanga kushinda goli 4-0πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wanaume wa Yanga wachunguzwe huenda niπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mimi ni kolo huyu jamaa atatuua jamani.

Natamami aondoke Tanzania makolo tupate amani.

Kama yanga hii ilotupiga kono la nyani sio anayoitaka ikija anayoitaka si atatufunga kumi.

Huyu Gamondi afukuzwe Tanzania haiwezekani kocha asiwe na huruma hata kidogo.
 
Anataka 5imba wafe kifo cha mende..!! Na hivi Mudi kasema amepata hasra kubwa, basi nawaona jinsi wanavyokwenda kupigwa vibaya na kila anayekatiza mbele yao
Tangu ulipozimia kwenye banda la mpira. Umezinduka akili yako haijakaa sawa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Malizia dozi kwanza ndugu. Utapona tu ndugu maana hizi ni dalili za mtu kurukwa na akili.
Wanaume wa Yanga wachunguzwe mademu ndiyo huwa wanazimia kwa furaha, sasa mwanaume unazimiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mimi ni kolo huyu jamaa atatuua jamani.

Natamami aondoke Tanzania makolo tupate amani.

Kama yanga hii ilotupiga kono la nyani sio anayoitaka ikija anayoitaka si atatufunga kumi.
Tangu ulipozimia uwanjani, umezinduka akili yako haijakaa sawa.
Malizia dozi ya dawa ndugu maana hii ni dalili ya kuelekea milembe.
Pole sana, utapona tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kuna ukweli fulani hapo,maana nikikumbuka zile 1-5 za Koloizdad nawaonea huruma sana.

NB: Mangungu tuachie timu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…